Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Screenshot_20250314_160142_Gallery.jpg
 
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee tupia tuu kiwe kibaya au kizuri leta tu hapa, tuwatamanishe watoke miudenda wale kulakula[emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 566179View attachment 566180

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna samaki ziwa nyasa anaitwa mbasa wanyakyusa wakimpika na ndizi ni chakula hasa.
 
Nikilala nikiota ndio hicho hicho. Yawezekana ugali dagaa 😅
Naja na dumu la mtindi wa asas happ nikimaliza kula ugali dagaaa kisamvu pembeni na mtindi wangu naingia kitandani kulala huku kiyoyozi kinapuliza....lazima niote namgegeda mshangazi mmoja wa hapa jf
 
Naja na dumu la mtindi wa asas happ nikimaliza kula ugali dagaaa kisamvu pembeni na mtindi wangu naingia kitandani kulala huku kiyoyozi kinapuliza....lazima niote namgegeda mshangazi mmoja wa hapa jf
😂😂😂😂
 
Ukimuhonga mwajuma ndala ndefu hii sahani, kesho anahamia kwako.
Yaani hapo unawapa wazazi wake japo buku 20 tu kifuta machozi kwa kuwaonea huruma😁😅😅.
Upande mwingine kuna lifwala linaoa mwajuma ndala ndefu kwa ngo'mbe 30 na mamilioni.
Huku papuchi ya mkewe inajulikana kama ramani ya Africa.
Na siku akidai arudishiwe mahari yake mumpe mzigo wa ngozi na pembe arudi nazo kwao ukumbusho.
 
Back
Top Bottom