TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Habari wadau!
Kautafiti nilichokafanya nimegundua kila mlevi na mnywaji kuna nyimbo huwa anaipenda kuisikia pale pombe inapokolea au anapokuwa anakunywa.
"Nainua mkono mama kitambaa cheupee...hayo yote ni kitambaa cheupeee"- ni moja kati ya nyimbo ambazo nikizisikia kama nilipanga kunywa bia mbili lazima niongeze nyingine.
Je, mlevi mwenzangu ni nyimbo gani ukiisikia lazima uongeze bia?😀😀😀😀