Uzi wenye kurasa nyingi

Uzi wenye kurasa nyingi

SUTE

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2018
Posts
301
Reaction score
232
Nadhani hamjambo ndio maana mpo jf sasa, mimi sijambo lakini kama afya yako haiko vizuri pole,

Nimejikuta napenda kusoma comment tu wakati mwingine bila kuchangia chochote kwa sababu hiyo, ki ukweli kuna nyuzi nyingi tu zinaelimisha na zingine kufurahisha, niweombe tu wenyeji mnitajie watu wanaotuelimisha na kutufuraisha,
Ahsanteni!
 
Ni sawa na kipanya vs kibakuli wanakua wanaperuzi na kudadisi kabla ya kuamua kama ni real au famba lkn nyingi ni genuine na zinakua na multiplier effects kwa watumiaji wake,so tuseme inakua verified kwa matumizi ya kila siku esp. giligiliani.
 
Huu ndio uzi wenye kurasa nyinyi mkuu japo nimelazimisha kukuelewa,,,, pitia madogomdogo upoteze stress



Pia kuna huu wenye kurasa nyingi japo sio lazima ushike namba mbili

 
Huu ndio uzi wenye kurasa nyinyi mkuu japo nimelazimisha kukuelewa,,,, pitia madogomdogo upoteze stress



Pia kuna huu wenye kurasa nyingi japo sio lazima ushike namba mbili

Ahsante!
 
Nimejaribu kuzoom labda nitaelewa chochote..nimeambulia patupu
 
Back
Top Bottom