SUTE
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 301
- 232
Nadhani hamjambo ndio maana mpo jf sasa, mimi sijambo lakini kama afya yako haiko vizuri pole,
Nimejikuta napenda kusoma comment tu wakati mwingine bila kuchangia chochote kwa sababu hiyo, ki ukweli kuna nyuzi nyingi tu zinaelimisha na zingine kufurahisha, niweombe tu wenyeji mnitajie watu wanaotuelimisha na kutufuraisha,
Ahsanteni!