Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 2,284
- 4,595
Naamini walizotoa juzi ni mkono wa Sheria ila walizuga tu kuonyesha wameachana naye. Ukiangalia ni mulemule tu, jezi ina mambo meeengi, mara mipasho, makorokoro kibaaaoHivi Sheria Ngowi alikula nyoya?
Jiesiemu anawapiga Yanga kwenye Jezi...