Dah! Long time sijamuona mtu mzima DJ JD aki spin free style scratching huku aki swing kwa swaga za ki dj za ukweli! I will be there kuwasapoti lakini zaidi mifuto ya Dj JD! Ila matangazo bado sana biashara asubuhi!Wadau na mashabiki wote wa muziki bongo muziki unalipa tukutane viwanja vya chuo cha ustawi wa jamii bamaga k'nyama tar 26/11/2011 kuanzia saa 12 kiingilio sh 5000 wasanii kibao sugu mkoloni mapacha dan msimamo adili LWP mabaga fresh soggy doggy big doggy pouse mazese crew peenlawyer. Wakiongoza na dj JD ,majizo, BBG. big stage big sound kutoka ENTARTIMENT MASTERS hii si ya kukosa ANTIVIRUS WITH NO APOLOGY
Watakuja wapenda matusi...inaonesha hata hiphop hawaijui,tangu ln mixtape ikawa na uznduz?kama co sugu anataka kuwadhurumu wenzie!kwa nn vinega wote hawana elimu?kwa nin vinega wote wamepotea kwny game?kam wanabbniwa na clouds,kwa nin nymbo zao hazpgw redio nyngne?niambie n nymb gan katka hyo mixtape inafaa kupgwa kwny teleshen ya taifa?niambie n nymbo gan ktk hyo mixtape inaweza kupendwa na watu makn kama zito au prof.shivji?...tar26 naenda kumchek m2 mzima DMX..Et Antivirus? Soggy dog =magamba..sugu = magamba..wu z virus sugu o soggy?
Namkubali sana Sugu,sikujui kumbe hawa kina FA,FID Q,AFANDE,JOH MAKINI,N2N,KALIPINA NA WENZAKE e.t.c wote wanafiki tu.badala ya wai kuongeza nguvu kwa sugu wanajitenga....
Dar es salaam,nairobi,mombasa
bujumbura,kigali,kishansa
................
sugu ni chama kubwa kama arsenal,
bado nipo dimbani na mic ipo mkononi,
labda huku niliko nifwateni,
mana inaonekana nitachelewa kushuka chini,
inashangaza kuona mda unavyokwenda,
nacheza mchezo wa hip hop ndo kitu nachokipenda,
cheki maplayer haters navyowapiga denda........
Watakuja wapenda matusi...inaonesha hata hiphop hawaijui,tangu ln mixtape ikawa na uznduz?kama co sugu anataka kuwadhurumu wenzie!kwa nn vinega wote hawana elimu?kwa nin vinega wote wamepotea kwny game?kam wanabbniwa na clouds,kwa nin nymbo zao hazpgw redio nyngne?niambie n nymb gan katka hyo mixtape inafaa kupgwa kwny teleshen ya taifa?niambie n nymbo gan ktk hyo mixtape inaweza kupendwa na watu makn kama zito au prof.shivji?...tar26 naenda kumchek m2 mzima DMX..Et Antivirus? Soggy dog =magamba..sugu = magamba..wu z virus sugu o soggy?
Du litakuwa bonge la show,sipati picha.
Ww tu na roho yako kamwambie rugay kuwa hawezi kushindana na sugu hata kama anatumia ikulu na sasa wanaenda kumwaga sumu vyuoni ili wasusie upuuzi wa wafu fm nyie mnaona raha sana wasanii wakiwa empty waje kuwapiga vizinga hata nigeria walisusia shoo ya 50 cent na ndo chanzo cha wasanii kulipwa vizuri sisi je kwanza DMX hilo mmepigwa changa kwenye ratiba yake ya shows hajaiweka tz labda mkamfufue michael jackson
Kwa maandsh yako tu nshakujua wewe n nan?tuache hayo..kwan cfa ya kuw kneg lzm uwe na matusi?Hv kat ya vineg.a nan anayejua hiphop?hkuna hta m1..Iv mbunge ana muda gan wa kupoteza na kukaa kuanza kuandka matus badala ya kutatua matatzo ya wananch yake?..kama mnabaniwa na cloudc nymbo zenu znapgwa na radio gan?kama mnanyonywa na soko la ndan..iv i sugu c alikuwa marekan?kwa nn hakutoka?au soko la marekan lmetekwa na ruge? Am Anti Anti-Virus...yoo
Hatumind nyimbo kutopigwa radioni kwanza chanzo chz wafu fm kutubania ni kwamba hatukutaka kuwalamba miguu i mean ndiyo mzee kwa kila jambo kwanza sugu hajafahamika kupiti clouds ni longtime sugu angeweza kukaa kimya tu ila lazma awatete wenzake coz ni aibu kwa taifa wasanii kuwa maskini huku wakina rugay wakifaidi jasho la msanii movement imefika pazuri matusi hata wamarekani wanatukana au kwa vile wao wanaimba kizungu. Radio one times nk wanapiga nyimbo za vinega