Wadau na mashabiki wote wa muziki bongo muziki unalipa tukutane viwanja vya chuo cha ustawi wa jamii bamaga k'nyama tar 26/11/2011 kuanzia saa 12 kiingilio sh 5000 wasanii kibao sugu mkoloni mapacha dan msimamo adili LWP mabaga fresh soggy doggy big doggy pouse mazese crew peenlawyer. Wakiongoza na dj JD ,majizo, BBG. big stage big sound kutoka ENTARTIMENT MASTERS hii si ya kukosa ANTIVIRUS WITH NO APOLOGY