Uzinduzi Mradi wa Umeme, mto Rufiji: Rais Magufuli aagiza sehemu ya Selous kuwa Hifadhi ya Taifa. Fedha zilizorudishwa kutoka Kenya kujenga barabara


Ni matumaini yangu makubwa leo Yule Mlinzi wake Kipenzi Cheusi Bonge Macho Kufinyafinya hatosinzia tena kama kawaida / desturi yake kwani huko Rufiji ( bila kusahau Kibiti na Mkuranga ) bado hapajatengemaa kivile ( 100% ) Kiusalama japo Vikosi vya Ulinzi na Usalama viko na sasa vimeweka hadi Kambi zao huko wanaendelea Kupambana na wale Watu wabaya wenye nia mbaya na Tanzania yetu hii.

Otherwise namtakia Mheshimiwa Rais JPM Uzinduzi huo mwema kwani Maji ya hapo ( katika hilo Bwana na Maporomoko yake ) yatasaidia sana katika Uchumi wa Viwanda vya Tanzania na hatimaye Kuongeza idadi ya Wawekezaji nchini ambao kwa namna moja au nyingine watasaidia Kuongeza Idadi ya Watu watakaopata Ajira nchini na hatimaye tatizo la Ukosefu wa Ajira nchini lipate Ufumbuzi na Umasikini nao taratibu uanze kuwa hi Historia kwa Watanzania na Kaya zao nyingi.

Mungu ibariki Afrika
Mungu ibariki Tanzania
Mungu ubariki Mtandao huu wa JamiiForums
Mungu mbariki cleverbright
 
ccm na miguo yao haikosi, sijui inafikiri kuna wali wa bure - ha ha ha
 
RIP wale maaskari polisi wetu watatu
😭 😭 😭 😭 😭 😭 😭 😭 😭 😭
 
Ile ID yako nyingine maarufu umeikataa kabisa kabisa?!!!!
 
Safi sana Mr.President.Bora huo umeme uzalishwe kuliko hizo nyama za Mbogo (Nyati),nk
 
This is what we need. Story telling is an art of the old. Those story tellers will continue telling us their tales. But what we need is development. We have heard more stories in the past with little humanprogress or developmeny. Has it made us better???
Nakuunga mkono JPM na serikali yako Mambo mbele kwa mbele. Ipo siku kitaeleweka tu
 
Magufuri Na Mwanawe Wa Faida Majariwa Hawa Majamaa Ni Majembe Na Timu Yao Kiukweli Kikosi Kazi Majuzi Niliona Wanataka Wafufue Reli Yakat Kule Tanga Na Kazi Ishaanza Kupiga Sema Tatizo Moja Huku Mitandaoni Baadhi Ya Watu Wanatujaza Chuki Zidi Yao Unachukia Mpaka Unawaombea Njaa Lakin Kiukweli Jpm Na Mwanao Kasim Majariwa Nyinyi Majembe Tunajivunia Kuwa Pata Salut Salut
 
Hakika maendeleo hayana chama, mwanachadema waleo nimwanaccm mtarajiwa namwanaccm waleo nimwanachadema mtarajiwa,. Maendeleo hayana chama jaman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…