MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Leo Julai 26, 2019 Mhe. Rais Magufuli atakuwa mgeni rasmi kwenye uwekaji jiwe la msingi la mradi wa kuzalisha umeme katika mto Rufiji
Rais Magufuli aliwasili Rufiji akitokea Dar es Salaam akitumia treni ya reli ya TAZARA kwa kupitia Fuga na Kisaki
Ni matumaini yangu makubwa leo Yule Mlinzi wake Kipenzi Cheusi Bonge Macho Kufinyafinya hatosinzia tena kama kawaida / desturi yake kwani huko Rufiji ( bila kusahau Kibiti na Mkuranga ) bado hapajatengemaa kivile ( 100% ) Kiusalama japo Vikosi vya Ulinzi na Usalama viko na sasa vimeweka hadi Kambi zao huko wanaendelea Kupambana na wale Watu wabaya wenye nia mbaya na Tanzania yetu hii.
Otherwise namtakia Mheshimiwa Rais JPM Uzinduzi huo mwema kwani Maji ya hapo ( katika hilo Bwana na Maporomoko yake ) yatasaidia sana katika Uchumi wa Viwanda vya Tanzania na hatimaye Kuongeza idadi ya Wawekezaji nchini ambao kwa namna moja au nyingine watasaidia Kuongeza Idadi ya Watu watakaopata Ajira nchini na hatimaye tatizo la Ukosefu wa Ajira nchini lipate Ufumbuzi na Umasikini nao taratibu uanze kuwa hi Historia kwa Watanzania na Kaya zao nyingi.
Mungu ibariki Afrika
Mungu ibariki Tanzania
Mungu ubariki Mtandao huu wa JamiiForums
Mungu mbariki cleverbright