Uzinduzi Mradi wa Umeme, mto Rufiji: Rais Magufuli aagiza sehemu ya Selous kuwa Hifadhi ya Taifa. Fedha zilizorudishwa kutoka Kenya kujenga barabara

Hivi kwa nini bwawa halijengwi pembezoni mwa ziwa Tanganyika au basi hata ziwa Nyasa tulikaushe kabisa mgogoro uishe
 
Acha kutunga uongo


Hii kali! yaani hiyo siri Rais wa nchi haifahamu ila unaifahamu wewe na Mama Maria Nyerere, huu uongo huwa mnafundishwa wapi?
Maraisi waliomtangulia MaguFull wanajua hivi kwa Nini hawamwambii Magufuli kwa Nini toka Nyerere Aseme makao makuu yahamie Dodoma 1972 yeye mwenyewe hakupeleka Hadi anakimbia uraisi kwa kisong'izio Cha kung'atuka kwa Nini hakuhamisha Wala kutenga bajeti?;Magufuli hatakiwi kuishi in isolation alitakiwa KU consult maraisi wenzie.Hoja zake nimemsikiliza Sana anasema alichelewa Kuhamia Dodoma sababu alikuwa akiuguza mama Yake ambaye kapooza.Aliyasema hayo wakati Raisu Kenyatta alipoenda kumjulia Hali mama Yake chato .Haya mama Yake Sasa Yuko chato SI aende ahamie Dodoma? Hayuko dar museveni na kenyata wameenda kumjulia Hali mama Yake ambaye Yuko chato hoi Sio muhimbili.Wafanyakazi kibao wamehamia Dodoma hawana wazazi wanaumwa?hawana wa kuwauguza.Nalaani Sana previous presidents kwa kutomfanyia hand over vizuri Raisi Magufuli hata Kama ni jeuri na Musiba wake.It is unfair.Magufuli hand over ya uraisi hakupewa vizuri na ubabe na kujiamini kulikopitiliza kwake.Hivi Nyie maraisi wastaafu kwa Nini mlimfanyia hivi jamani? Kama mlikuwa hamumtaki kwa nini mlimpa uraisi?
 
Tulianza na kidatu na hale,wakasema hautoshi wakatengeneza mtera wakasema hautoshi,wakasema tunaleta umeme kutokana na gas hivyo suala la tatizo la umeme litakuwa historia wapi haikuwa,sasa wanasema stingler ndio suluhisho la Tanzania ya viwanda kuna mbunge aiiuliza pale bungeni hizo megawati 2115 zitakuja kupatikana mwaka gani maana sio mradi unakamilika ndio tutapata hizo megawati 2115 hapana jibu halikupatikana na raisi ajaye atakuja kutengeneza bwawa la umeme hadi nchi nzima ijae mabwawa ya umeme na bado umeme hautatosha nchi hii ina tatizo jingine kubwa zaidi ya huo umeme,endeleeni kusifu na kuabudu.
 
Endeleeni
Mimi niko njiani na pickup ya kuni.
Wacha tuonyeshane makali
 
Hahahahahaha. Kwanza niulize nyie praised team ni timu gani nyie hasa??? Ni team JPM au ni Team Kidugu.????!!?!?!

Niseme tu moja ya kazi za vyama vya siasa is to fool people.

But tukumbuke tu uongo ukizidi unawaacha watu wachache kuwa watumwa, mfano ni nyie team NDIO lkn wengi wetu hubaki kuwa huru. Kwani ukweli mara zote huwaacha waungwana wakiwa huru,

Mh Magufuli run Well

Ccm run out of the way.

To merge this "THEY RUN WELL BUT OUT OF THE WAY."

Nitoe mfano wa gesi ya mtwara.

You praise team muliweka mapambio kama kawaida. But fisiem can only fool you some time but can't fool all the pple all the time. Fisiema hamuaminiki tena.


Bomba la gesi mtwara - dar. Timu hii, hii ilikuja na mapambio kuwa gesi ya mtwara itakuwa suluhisho la katizo za umeme.

Leo tunaelezwa bomba linatumika kwa asilimia 6 tu kusafirisha gesi. Tulitegemea kwa wale walio na mipango mikakati wangeendeleza walau matumizi ya gesi yafikie 50% tuone iwapo tatizo LA umeme litakuwapo au la. Matokeo yake mtanzania Mimi na wewe tunalipa mkono wa bomba lile ambapo kwa kiasi kikubwa liko under utilization.

Wenzangu wana kidumu msiwe wepesi wa kusahau, nyie ndio mliyopigia ngonjera na mapambio kuwa ndio gesi ndio mkombozi wa umeme tz, Leo mnatuletea mapambio mapya. Kama sio ugonjwa soni ni nini.....

Ilielezwa kuwa kama wangeamua kuachana na bomba lile, gharama zake zingeweza kujengwa mkongo wa umeme wa taifa kwa mikoa ya lindi, mtwara na pesa hizo hizo kujengwa Barbara za lami mtwara - DSM. Lkn itatafutwa mikopo mingine kwa ajili ya Barabara huku umeme wa uhakika kwa mikoa hiyo ikiwa ni kitendawili.

Tunaambiwa imebaki miaka michache tu life span ya bomba iishe. !?!?!?!!!?!!!!!!

Ndugu zangu kidumu nyie ndio mliotetea
kuwa Pesa za Escrow si pesa za Umma

Nyie ndugu zangu kidumu kwanini mko kimya hadi Leo serikali ikiilipa iptl mamilioni ya fedha.?!?!?!

Hivi nyie ni team kidumu au ni team JPM. Na ikitokea JPM anaachana na kidumu nyie mtakuwa upande gani.
 
Hivi inatumika kadri anavyoona yeye au inabidi iingie mfuko mkuu was hazina ili zipangiwe matumizi na Bunge?
Kama bwana litakuwa kivutio cha utalii, hadi sasa Mtera na Kidatu yamevutia watalii wangapi au huvutia wangapi kwa mwaka?

Wanadhani watalii ni wa kijinga jinga wana hela za kuchezea tu.

Walishasema eti watalii watakuja pia chato kuushangaa uwanja wa kisasa wa mpira utakaojengwa pale.
 
Unajua utofauti wa hili bwawa na uliyoyataja? Muwe na akili za kujiongeza basi.

Hata uwanja wa mpira wa chato waziri kalemani alisema watalii watatoka nje kuja kutalii kwenye uwanja huo.
 
Wale jamaa wa ufipa watauliza hii hatua ya kuifanya hifadhi kuwa national park inawasaidia vipi bibi na babu zao vijijini.
 
Umeme wenyewe ni megawatts(MB)2000, yan ungefikia kwenye hata Gigawatts(GB) 1 sijui ingekuwaje hayo makelele yake,

Nathan serikali ianze kufikiria kuzalisha gigawatts za umeme
Megawatts = MB[emoji99]
Gigawatts. = GB[emoji99]

Tuendelee kukosoa kiongozi!!
 
kwakweli Magufuli ameletwa na mungu ili kuikomboa Tanzania huyu miaka kumi haimtoshi kabsa yafaa apewe miaka 20 Tanzania tunaringa kwakwel kikubwa Mungu tunakuomba umlinde zidi ya maadui na umpe mika mingi ya kuishi duniani ,Nani kama magufuli , ndugu zangu wa same mashariki tusije tukafanya makosa 2020 tuichague ccm ,azabu tunayoipata kwa sasa inatosha Mbunge haonekani tangia tumpe apate ubunge ,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…