Hahahahahaha. Kwanza niulize nyie praised team ni timu gani nyie hasa??? Ni team JPM au ni Team Kidugu.????!!?!?!
Niseme tu moja ya kazi za vyama vya siasa is to fool people.
But tukumbuke tu uongo ukizidi unawaacha watu wachache kuwa watumwa, mfano ni nyie team NDIO lkn wengi wetu hubaki kuwa huru. Kwani ukweli mara zote huwaacha waungwana wakiwa huru,
Mh Magufuli run Well
Ccm run out of the way.
To merge this "THEY RUN WELL BUT OUT OF THE WAY."
Nitoe mfano wa gesi ya mtwara.
You praise team muliweka mapambio kama kawaida. But fisiem can only fool you some time but can't fool all the pple all the time. Fisiema hamuaminiki tena.
Bomba la gesi mtwara - dar. Timu hii, hii ilikuja na mapambio kuwa gesi ya mtwara itakuwa suluhisho la katizo za umeme.
Leo tunaelezwa bomba linatumika kwa asilimia 6 tu kusafirisha gesi. Tulitegemea kwa wale walio na mipango mikakati wangeendeleza walau matumizi ya gesi yafikie 50% tuone iwapo tatizo LA umeme litakuwapo au la. Matokeo yake mtanzania Mimi na wewe tunalipa mkono wa bomba lile ambapo kwa kiasi kikubwa liko under utilization.
Wenzangu wana kidumu msiwe wepesi wa kusahau, nyie ndio mliyopigia ngonjera na mapambio kuwa ndio gesi ndio mkombozi wa umeme tz, Leo mnatuletea mapambio mapya. Kama sio ugonjwa soni ni nini.....
Ilielezwa kuwa kama wangeamua kuachana na bomba lile, gharama zake zingeweza kujengwa mkongo wa umeme wa taifa kwa mikoa ya lindi, mtwara na pesa hizo hizo kujengwa Barbara za lami mtwara - DSM. Lkn itatafutwa mikopo mingine kwa ajili ya Barabara huku umeme wa uhakika kwa mikoa hiyo ikiwa ni kitendawili.
Tunaambiwa imebaki miaka michache tu life span ya bomba iishe. !?!?!?!!!?!!!!!!
Ndugu zangu kidumu nyie ndio mliotetea
kuwa Pesa za Escrow si pesa za Umma
Nyie ndugu zangu kidumu kwanini mko kimya hadi Leo serikali ikiilipa iptl mamilioni ya fedha.?!?!?!
Hivi nyie ni team kidumu au ni team JPM. Na ikitokea JPM anaachana na kidumu nyie mtakuwa upande gani.