Uzinduzi Mradi wa Umeme, mto Rufiji: Rais Magufuli aagiza sehemu ya Selous kuwa Hifadhi ya Taifa. Fedha zilizorudishwa kutoka Kenya kujenga barabara

Leo tena tarehe 26 July 2019 JPM ameudhirishia Ulimwengu kuwa Watanzania Wanaweza, kwa kuanzisha Mradi wa kufufua Umeme mwingi kupindukia.

Wafitini wote na wasioipenda serikali ya awamu ya 5 wamesemekana kulazwa hospitali mbalimbali hapa nchini kutokana na kumuona JPM na Serikali yake wanapaa juu juu mawinguni kwa kasi ya ajabu.

Wapinzani wa Serikali ya awamu ya 5 wameaibika kwa asilimia 100 kimataifa baada ya kuonekana sekta za Madini zinatoa muchango mingi ktk ongezeko la uchumi wa Tanzania.

Baadhi ya Wapinzani Leo hii wameamua kuungana na Serikali ya awamu ya 5 bila kificho kama ilivyotokea kwa Munge huko Mtwara wakati wa uzinduzi wa SGR.

Sultan ambaye ni Mkuu wa Upinzani ngoja tuone kama atamkemea hadharani mbunge aliyeungana na Serikali ya awamu ya 5 kupokea uzinduzi wa mradi huu Mkubwa kuwahi kutokea Tanzania huko Mtwara(Rufiji)
 
Huyu MC kila shughuli anakuwepo.ni mtumishi wa serikali au ameajiriwa kwa kazi hyo?
 
Wanadhani watalii ni wa kijinga jinga wana hela za kuchezea tu.

Walishasema eti watalii watakuja pia chato kuushangaa uwanja wa kisasa wa mpira utakaojengwa pale.
Kuna chizi mmoja anabisha. Mtalii aje kuangalia bwama. Watu wengine akili matope.
 
Mimi nitasimama na Rais Magufuli.
Kule Rais Donald Trump hawapendi waafrika sio kwa sababu ya ubaguzi wa rangi ila coz anaona ni wavivu kuamua kuhusu hatma ya maisha yao. Sasa kuwa na mtu ambaye anamaamuzi yenye tija kwa Taifa, si dhambi kujivunia kuwa naye.
Rais wetu Nchi yetu Tanzania yetu.
 
Wivu huooo !! Roho ya korosho hiyoooo !! Mwisho wa siku mtatumia umeme ule ule mnaoubeza leo, mtatumia barabara zile zile mnazozibeza, mtasomeshea watoto wenu kwenye shule zilezile mnazozibeza, mtatibiwa kwenye hospitali hizo hizo mnazozibeza, kama unavyotumia leo njia za mawasiliano baada ya serikali kuomba masafa na kuyalipia wewe unawasiliana bila shida ukidhani ni bure.
Hii miradi sio justification ya matendo ya watu wasiojulikana.

Mtahangaika kumpamba lakini haitasaidia.
 
Mbona unaimba taarabu hapa?
Hivi maendeleo yanafanywa ili kuwaokomoa watu ni wajibu wa serikali?

Hawa wenye roho za korosho unaowasema unawafahamu au hisia zako tu?

Huu ushabiki wa vyama ni wa kijinga kabisa. Kiongozi akifanya jema wanaCCM wajnga mnawatukana watu. Akivurunda mnamtetea na kuwashambulia wakosoaji.

Kazi kweli kweli
 
Missions impossible hii kitu endeleeni tu na mapambio yetu
Hoima pipeline Leo iko wp?
Nani wa kumpa 10billion USD huyu ktk akili zako???
 
this is our begotten president in a cool country like, JPm is a commander for All African president as Kwame Nkuruma, Muamar Gasdafi,aswell as Robert Mugabe
 
Rais naona kashangaa hko Kuna hotel ya bei mbaya kulala kwa $3000
Ameizungumzia sana....... Mmiliki naona mpk muda huu - - - - [emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Umeme wenyewe ni megawatts(MB)2000, yan ungefikia kwenye hata Gigawatts(GB) 1 sijui ingekuwaje hayo makelele yake,

Nathan serikali ianze kufikiria kuzalisha gigawatts za umeme

Megawatts = mW
Gigawatts = gW
These are SI units for power.

Megabyte = mB
Gigabyte = gB
These are SI units for storage capacity of data.
 
Ilishafika mkoa fulani prototype (nimesahau jina) wahuni wakawa wanatembea na solar. Kule mufindi kwenye vibanda vya walinzi wanaoangalia moto misituni walipewa solar hizo wahuni walikuwa wanahamisha kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…