Mzee Nondo
Senior Member
- Feb 26, 2014
- 125
- 83
Leo tena tarehe 26 July 2019 JPM ameudhirishia Ulimwengu kuwa Watanzania Wanaweza, kwa kuanzisha Mradi wa kufufua Umeme mwingi kupindukia.
Wafitini wote na wasioipenda serikali ya awamu ya 5 wamesemekana kulazwa hospitali mbalimbali hapa nchini kutokana na kumuona JPM na Serikali yake wanapaa juu juu mawinguni kwa kasi ya ajabu.
Wapinzani wa Serikali ya awamu ya 5 wameaibika kwa asilimia 100 kimataifa baada ya kuonekana sekta za Madini zinatoa muchango mingi ktk ongezeko la uchumi wa Tanzania.
Baadhi ya Wapinzani Leo hii wameamua kuungana na Serikali ya awamu ya 5 bila kificho kama ilivyotokea kwa Munge huko Mtwara wakati wa uzinduzi wa SGR.
Sultan ambaye ni Mkuu wa Upinzani ngoja tuone kama atamkemea hadharani mbunge aliyeungana na Serikali ya awamu ya 5 kupokea uzinduzi wa mradi huu Mkubwa kuwahi kutokea Tanzania huko Mtwara(Rufiji)