Shetani hajawahi kumshinda MunguBila shaka mpo tayari kupambana na kesi mbali mbali mtakazokumbana nazo huko mbele ya safari maana kila mmoja wetu ni mfungwa mtarajiwa🐒🤸🤣
When one door is closed another one is open and many more...UZINDUZI RASMI WA KAMPENI YA "WAKA" TAREHE 28/08/2021
WAKA Wananchi&Katiba
Dar es salaam., Tanzania
9 JUL 2021 —
Nachukua fursa hii kuwatangazia kua Uzinduzi rasmi wa Kampeni ya WAKA (Wananchi na Katiba) utafanyika tarehe 28/08/2021 ukumbi wa LAMADA HOTEL, ILALA - DAR ES SALAAM kuanzia saa 2 kamili asubuhi mpaka saa 8 mchana.
Nyote mnakaribishwa kwenye kongamano hilo.
Pia nichukue fursa hii kuwafahamisha kua Jaribio la Daftari la WAKA (Wanancbi & Katiba) linaendelea katika wilaya mbalimbali za Jiji la Dar es salaam.
WAKA tunawashukuru wananchi wenzetu kwa ushirikiano.
Yahaya Omary Mpanda.
View attachment 1885141
Usiogope...Hakuna magereza ya watu milioni zaidi ya 40,achilia hao milioni 20 ambao hawajulikani misimamo yao.Bila shaka mpo tayari kupambana na kesi mbali mbali mtakazokumbana nazo huko mbele ya safari maana kila mmoja wetu ni mfungwa mtarajiwa🐒🤸🤣
safi sana. Shusha nanga pandisha nanga.UZINDUZI RASMI WA KAMPENI YA "WAKA" TAREHE 28/08/2021
WAKA Wananchi&Katiba
Dar es salaam., Tanzania
9 JUL 2021 —
Nachukua fursa hii kuwatangazia kua Uzinduzi rasmi wa Kampeni ya WAKA (Wananchi na Katiba) utafanyika tarehe 28/08/2021 ukumbi wa LAMADA HOTEL, ILALA - DAR ES SALAAM kuanzia saa 2 kamili asubuhi mpaka saa 8 mchana.
Nyote mnakaribishwa kwenye kongamano hilo.
Pia nichukue fursa hii kuwafahamisha kua Jaribio la Daftari la WAKA (Wanancbi & Katiba) linaendelea katika wilaya mbalimbali za Jiji la Dar es salaam.
WAKA tunawashukuru wananchi wenzetu kwa ushirikiano.
Yahaya Omary Mpanda.
View attachment 1885141
Mtu mpya mwenye mawazo ya kizamaniMtawaka nyie mapema sana ,ukuta uko wapi wau ukawa
USSR
Ikafanyikie Moshi mjini au Hai.
Mbona sijasikia maandamano yakifanyika hi miji? Au kwa vile ni nyumbani vurugu hapana.
Moshi hata magu anapaogopa sana.Ikafanyikie Moshi mjini au Hai.
Mbona sijasikia maandamano yakifanyika hi miji? Au kwa vile ni nyumbani vurugu hapana.
Hii ni movement sahihi Katiba ni ya Wananchi sio vyama vya siasaUZINDUZI RASMI WA KAMPENI YA "WAKA" TAREHE 28/08/2021
WAKA Wananchi&Katiba
Dar es salaam., Tanzania
9 JUL 2021 —
Nachukua fursa hii kuwatangazia kua Uzinduzi rasmi wa Kampeni ya WAKA (Wananchi na Katiba) utafanyika tarehe 28/08/2021 ukumbi wa LAMADA HOTEL, ILALA - DAR ES SALAAM kuanzia saa 2 kamili asubuhi mpaka saa 8 mchana.
Nyote mnakaribishwa kwenye kongamano hilo.
Pia nichukue fursa hii kuwafahamisha kua Jaribio la Daftari la WAKA (Wanancbi & Katiba) linaendelea katika wilaya mbalimbali za Jiji la Dar es salaam.
WAKA tunawashukuru wananchi wenzetu kwa ushirikiano.
Yahaya Omary Mpanda.
View attachment 1885141
Watazimika tu, hamna cha waka wala nini.Mtawaka nyie mapema sana ,ukuta uko wapi wau ukawa
USSR
UZINDUZI RASMI WA KAMPENI YA "WAKA" TAREHE 28/08/2021