Uzinduzi rasmi wa kampeni ya Wananchi na Katiba ‘WAKA’ kufanyika tarehe 28/8/2021 jijini Dar es Salaam

Wanajua bila Mahera, Jecha, Mutungi wa maji, Zirro, kura za kwenye mabegi... hawana lao.
Hivi mbona watuwengi walio lewa CCM katiba mpya kwao ni chukizo?
Wengi wanaihusianisha na vurugu, vipi? Wakati mwingine wanahusianisha na upinzani.
Hawa watu wnaelewa maana ya katiba kweli?
 
Hili ni jambo zuri sana, hata kama limechelewa. Katiba mpya ni takwa la wakati. Tena ili ccm wasipate kisingizio wasiwepo viongozi wa kisiasa, bali watu huru kabisa. Wanasiasa waendelee na platform zao maana wanazo. Kila kundi liidai katiba mpya bila hofu maana ni madai halali.
 
Usiogope...Hakuna magereza ya watu milioni zaidi ya 40,achilia hao milioni 20 ambao hawajulikani misimamo yao.

Serikali haina uwezo wa kufunga ata watu milioni 5 tu
kwann hua mnabwabwaja tu harafu hamuandamani?!!! jitahidini basi hio tar 28 fanyeni kweli afu mtuletee mrejesho hapa jf
 
Hili kongamano likifanikiwa nitajua ni mpango wa ccm
1. Kutaka njia ya kumwachia Mbowe
2. Kutaka kurejea kwenye mchakato bila kipitia vyama vya siasa.

Ccm wanajifanya wanaakili kuliko watanganyika wote

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
MMmmm, nimeota ni mfumo huyuuu.
Tusubiri matokeo
 
Tanzania kwanza Katiba kwanza Tume huru kwanza vyama baadae.
 
Chadema baada ya kuona harakati zao na Mbowe kufeli wamekuja na jina jipya, baadae msianze tu kulia mara kugoma kula au tumekosa dhamana.
 
Je Tundu Lissu atakuwepo?
 
Chadema baada ya kuona harakati zao na Mbowe kufeli wamekuja na jina jipya, baadae msianze tu kulia mara kugoma kula au tumekosa dhamana.
Inaonekana bila Chadema maisha yako hayaendi.
 
Siku hiyo mtapigwa mabomu ya kutosha na huu utawala dhalimu
 
Njooni muwake mapema kabla ya waka yenu kufanyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…