Uzinduzi Simba Week: Simba Sc-We are Unstopable

Uzinduzi Simba Week: Simba Sc-We are Unstopable

we are unstopable.

ila Asha Baraka bana,ila acha nikaushe tu[emoji125][emoji125][emoji125][emoji40][emoji40]
 
Screenshot_20220731-224414_WhatsApp~2.jpg

Wakimataifa mpo vizuri ila kingereza kina wasaliti.
 
Halafu Aisha atakuwa ni mali ya Abutwalib Mshery, na Habiba atakuwa ni mali ya Nkane Denis!

Imekaaje hiyo!
Aziza atakua mali ya mwamba wa Lusaka, biriginiaa mali ya boko.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] byuti byuti
 
Next week usajili. Pre-season lini sasa?
Muwe mnatuliza matako. Kwani vilabu vyote vinavyoendelea na usajili kama Barca n.k havipo pre-season?? Timu nyingi tayari zipo pre season na zinaendelea na usajili.

Kwa akili kama hizi za Kushindwa kuchanganua mambo madogo madogo unategemea nani akupe kazi??
Hata ukijiajiri utafika wapi kwa akili hizi??

Vijana tuache ushabiki maandazi
 
View attachment 2309778
View attachment 2309892
Leo ni uzinduzi rasmi wa Simba Week, tuna mambo mengi kwenye wiki hii.

"Msimu huu tunarudi kwa nguvu, tunarudi kutetea ubingwa wetu na slogan yetu ni WE ARE UNSTOPPABLE - HATUSHIKIKI – HATUZUILIKI.- CEO Barbara

Zoezi la usajili bado linaendelea. Wiki ijayo timu yetu ya digital itaanza kutangaza wachezaji wengine.- CEO Barbara.

Kesho mtajua tofauti ya mdhamini na msaada. Tutakuwa na tukio na mdhamini wetu mpya, kampuni ya M-Bet."

"Wachezaji ambao tunawasajili sio wa sandakalawe, ni wachezaji muhimu kwenye vikosi vyao hivyo kunakuwa na ugumu kuwapata, inabidi kuzungumza na vilabu vyao ili kuwashawishi."- Meneja wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano, Ahmed Ally.

Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Murtaza Mangungu amesema jezi za timu hiyo msimu wa 2022/23 zitazinduliwa wiki hii na zitatengezwa Ulaya badala ya Asia.
MAKOLO mmebakiza kombe la Mbuzi linalochezewa Tandale [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom