Uzinduzi Simba Week: Simba Sc-We are Unstopable

Anachonga sana, sio poa kwa CEO kuwa muongeaji muongeaji tu, hiyo nafasi aifanye mtu wa habari...

CEO ni cheo kikubwa kwenye taasisi yeyote, ajifunze kwa mwenzake Senzo enzi akiwa Simba au hata alipokuwa Yanga...
nakuuliza tena inakuuma?
 
Mnatetea ubingwa gani? Wakati Yanga ndiye bingwa mtetezi wa makombe yoote Tz bara labda utetezi wa mapinduzi cup
 
Anachonga sana, sio poa kwa CEO kuwa muongeaji muongeaji tu, hiyo nafasi aifanye mtu wa habari...

CEO ni cheo kikubwa kwenye taasisi yeyote, ajifunze kwa mwenzake Senzo enzi akiwa Simba au hata alipokuwa Yanga...
Barbra hana cha kujifunza kwako wala kwa Senzo......
 
View attachment 2309778
View attachment 2309892
Leo ni uzinduzi rasmi wa Simba Week, tuna mambo mengi kwenye wiki hii.

"Msimu huu tunarudi kwa nguvu, tunarudi kutetea ubingwa wetu na slogan yetu ni WE ARE UNSTOPPABLE - HATUSHIKIKI – HATUZUILIKI.- CEO Barbara

Zoezi la usajili bado linaendelea. Wiki ijayo timu yetu ya digital itaanza kutangaza wachezaji wengine.- CEO Barbara.

Kesho mtajua tofauti ya mdhamini na msaada. Tutakuwa na tukio na mdhamini wetu mpya, kampuni ya M-Bet."

"Wachezaji ambao tunawasajili sio wa sandakalawe, ni wachezaji muhimu kwenye vikosi vyao hivyo kunakuwa na ugumu kuwapata, inabidi kuzungumza na vilabu vyao ili kuwashawishi."- Meneja wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano, Ahmed Ally.

Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Murtaza Mangungu amesema jezi za timu hiyo msimu wa 2022/23 zitazinduliwa wiki hii na zitatengezwa Ulaya badala ya Asia.
Hatuna la lusema tunawatazama tu
 
Jezi utengenezee Ulaya wakati Adidas, anawatengenezea jezi Madrid, Asia. Acheni ushamba huo. Mandonga FC.
 
Halafu Aisha atakuwa ni mali ya Abutwalib Mshery, na Habiba atakuwa ni mali ya Nkane Denis!

Imekaaje hiyo!
Msheri akiwa na position gani pale mbele au dimba la kati bwana uto?
 
Attachments

  • IMG_20220731_171614.jpg
    IMG_20220731_171614.jpg
    38.2 KB · Views: 3
washamba wamevamia uzi huu wa Simba alafu awaeleweki wanapata maumivu wapi kwenye makalio au tumboni!
 
Back
Top Bottom