The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Uzinduzi wa Filamu ya Royal Tour Marekani ni sahihi kabisa ila kuzindua Filamu Zanzibar, Arusha na Dar es Salaam ni kupoteza muda.
Kama serikali ilikua serious ilipaswa filamu hiyo baada ya kuzinduliwa Marekani, ikazinduliwe Ulaya na Kisha Asia kama Japan, China, South Korea, Malaysia, Thailand, India nk.
Tukubaliane kwamba ili mtu aweze kufanya utalii lazima awe na uwezo wa kutunza pesa za ziada ama savings ila kama hana uwezo wa kutunza pesa za ziada hawezi kufanya utalii.
Kwa msingi huo unaweza kuona watu wenye uwezo wa kufanya savings za kutalii wako Marekani, Ulaya na sasa Asia.
Jambo la pili, kama lengo la filamu ilikua kutangaza na kuonyesha vivutio vya utalii vya Tanzania huko Duniani, unakujaje kuzindua filamu hiyo Tanzania, kwani kuna mtanzania hajui Mlima Kilimanjaro uko Tanzania na ukipita kilimanjaro siku kuna hali ya hewa nzuri unauona ukiwa hata kwenye basi.
Kuna mtanzania asiejua Serengeti national park iko Tanzania, ama Zanzibar? Mnatangaza utalii Tanzania wakati middle class ambao wanaweza kufanya savings na wana constant stream ya pesa ni wafanyakazi ambao sasa wana hali mbay kuliko kawaida, watafanya utalii upi?
Takwimu zinaonyesha watalii wengi wa Tanzania wanatoka Marekani na Ulaya. Sasa ili tuongeze base tulipaswa kwenda Asia ambako life standard zao zimeongezeka na sasa wanaweza kufanya savings na kua na extra money ya kufanyia vitu kama utalii. Badala ya kwenda huko unaenda Zanzibar, hatuko serious.
Kutumia nguvu kubwa kutangaza na ku justfy Royal Tour Tanzania ni wastage of time and resources.