Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
bila shaka scheduled flightHivi hii ndege ya Qatar ilikodiwa au alikuja kama abiria wa kawaida?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bila shaka scheduled flightHivi hii ndege ya Qatar ilikodiwa au alikuja kama abiria wa kawaida?
Ujinga mtupu... akili mgandoMtakufa na vijiba vya roho. Tafuteni shughuli mfanye ziwaingizieni fedha, haya mambo siyo saizi yenu. Mna mawazo duni sana.
Siyo lazima u-comment kila kitu. Hii promotional strategy/ technique inayotumia film ni mpya kwa mazingira yetu. Hatukuzoea vitu hivi, tuwe wakimya tusubiri matokeo.
kule mpunga mrefu sio kamba ndefu kama walivyozoeaNchi hii vilaza wengi mno , unakuja kutangaza Tanzania , badala ya kupambana hyo royal tour ionyeshwe kwenye vituo vikubwa kama BBC Earth, NatGeoWild, Brave wilderness, The Dodo, Animal Aid Unlimited, Animal Planet, Real Wild, iPanda etc ....unakomaa kuzurura Arusha , DSM , mara Zanzibar , sjui kuonyesha TBC , ITV , Star TV na utopolo mwingine, kutwa kumnanga Maghufuli mpak kwenye documentary utadhani atakuondolea kiti cha uraisi
Vipi Kama Hayo yote Uliyo Yasema Wewe Mama Angeyaweka Kwenye Movie Kutuambia Ukweli?
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kumbuka alipotuambia kuwa Magufuli amekufa kwa ugonjwa wa moyo kwanza kulikuwa kipindi cha mpito ambacho Sukuma Gang walikuwa wanadhibiti kila kitu. Pili Samia alikuwa Makamu wa Rais.Kwani Magufuri alikuwa ana husu nini kwenye firam ya royal tour,yeye alisema anatangaza vivutio vya utali, Magufuri amekuwa naye kivutio? Sasahivi wasipo msema Magufuri Mambo yao hayendi?kwanza Samia inabidi ajiuzuru urais wake maana niyeye ndiye alituaminisha umma kuwa Magufuri alikufa kwa magonjwa ya moyo, Sasahivi anasema ni Covid-19, inawezekana Samia ni miongoni walifanya Magufuri haondoke.
Sema Samia alishiriki kumuua Magu, covid gani ambayo ilimuua Magu tu, mbona mke wake au walinzi wake hatukuona wanakufa au Mama yake aliyekuwa dhaifu mbona hawakuguswa? Maana tuliambiwa covid ikigusa mmoja tu lazima family na waliokaribu nae lazima waguswe,Samia anajua Mengi mda utaongea tu,tutajua Mengi yaliyochini ya carpetKumbuka alipotuambia kuwa Magufuli amekufa kwa ugonjwa wa moyo kwanza kulikuwa kipindi cha mpito ambacho Sukuma Gang walikuwa wanadhibiti kila kitu. Pili Samia alikuwa Makamu wa Rais.
Hivyo basi baada ya kuapishwa kuwa Rais, hilo ndilo jibu kuwa DIKTETA alikuwa kwa COVID-19!!
Kama hutaki kazikwe naye Chato
Una uhakika na ulichokiandika? Kwanza siyo kweli kama COVID 19 ikimpata mmoja kwenye familia mtakufa wote. Kama ni hivyo Tanzania tungekuwa tumekufa wote kwa vile hakuna familia haikupata mgonjwa wa COVID 19. Ukweli ni kwamba COVID 19 huua hadi 30% ya walioambukizwa.Sema Samia alishiriki kumuua Magu, covid gani ambayo ilimuua Magu tu, mbona mke wake au walinzi wake hatukuona wanakufa au Mama yake aliyekuwa dhaifu mbona hawakuguswa? Maana tuliambiwa covid ikigusa mmoja tu lazima family na waliokaribu nae lazima waguswe,Samia anajua Mengi mda utaongea tu,tutajua Mengi yaliyochini ya carpet
Mkuu, nakuapia hata kama wangekuwa wanajua, kwa chuki kali walizonazo dhidi ya huyu mama wallahi watakuwa washasahau na hawawezi kukumbuka tena mpaka wanayemchukia atakapomaliza musa wake. Soma comment #3 ujue kiwango cha hasira walichonacho dhidi ya huyu mama.Kumbe hujui control fundamentals,bila feedback utalii kuishnei.
Leta ushahidi wa unachodhania vinginevyo ni porojo unaendeleza.Una uhakika na ulichokiandika? Kwanza siyo kweli kama COVID 19 ikimpata mmoja kwenye familia mtakufa wote. Kama ni hivyo Tanzania tungekuwa tumekufa wote kwa vile hakuna familia haikupata mgonjwa wa COVID 19. Ukweli ni kwamba COVID 19 huua hadi 30% ya walioambukizwa.
Pili wewe hujui interaction ya Magufuli na familia yake ilikuwaje. Huwezi kuwasemea kwa nini ueue alikuwa na wengine hawakufa.
Una uhakika na ulichokiandika? Kwanza siyo kweli kama COVID 19 ikimpata mmoja kwenye familia mtakufa wote. Kama ni hivyo Tanzania tungekuwa tumekufa wote kwa vile hakuna familia haikupata mgonjwa wa COVID 19. Ukweli ni kwamba COVID 19 huua hadi 30% ya walioambukizwa.
Pili wewe hujui interaction ya Magufuli na familia yake ilikuwaje. Huwezi kuwasemea kwa nini ueue alikuwa na wengine hawakufa.
Kama una kisomo cha kawaida huhitaji kunidai ushahidi, mambo yako wazi kwenye mitandao. Nenda kasome tu haina haja ya ushahidi kutoka kwanguLeta ushahidi wa unachodhania vinginevyo ni porojo unaendeleza.
Wewe ni msukule tu wa Magufuli, hatutajangaika na wewe. Nani aipigir porojo Ile maiti ilikuwa inatembea nanyi wajinga mnamuita Chuma au Jiwe!!Mengine yooote yanabakia kuwa maoni yako tu, ila wenye akili timamu tunajua kilichomuua JPM…. hatusubiri porojo za mtu yeyote yule.
Wewe ni msukule tu wa Magufuli, hatutajangaika na wewe. Nani aipigir porojo Ile maiti ilikuwa inatembea nanyi wajinga mnamuita Chuma au Jiwe!!
Hizi ndio porojo za mitandaoniKama una kisomo cha kawaida huhitaji kunidai ushahidi, mambo yako wazi kwenye mitandao. Nenda kasome tu haina haja ya ushahidi kutoka kwangu
Kwa vile unatumia Simu kwa kupiga na kupokea endelea kuita porojoHizi ndio porojo za mitandaoni