Uzinduzi wa Filamu ya Royal Tour Zanzibar, Arusha na Dar es Salaam ni kupoteza muda na Gharama

Ujinga mtupu... akili mgando
 
kule mpunga mrefu sio kamba ndefu kama walivyozoea
 
Acheni watu wapige pesa asee ni zamu yao eti!.
 
Vipi Kama Hayo yote Uliyo Yasema Wewe Mama Angeyaweka Kwenye Movie Kutuambia Ukweli?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app

Mhubiri 3:1-8 . Kila kitu kina majira yake, kila jambo duniani lina wakati wake: Wakati wa kuzaliwa na wakati wa kufa; wakati wa kupanda na wakati wa ...

Kwenye Royal Tour ilikuwa ni kujuwa kilichomuua DIKTETA, tumejuwa ni COVID-19. Hayo mengi ya akina Lissi na Ben Saanane subiri muda wake
 
Kumbuka alipotuambia kuwa Magufuli amekufa kwa ugonjwa wa moyo kwanza kulikuwa kipindi cha mpito ambacho Sukuma Gang walikuwa wanadhibiti kila kitu. Pili Samia alikuwa Makamu wa Rais.

Hivyo basi baada ya kuapishwa kuwa Rais, hilo ndilo jibu kuwa DIKTETA alikuwa kwa COVID-19!!

Kama hutaki kazikwe naye Chato
 
Sema Samia alishiriki kumuua Magu, covid gani ambayo ilimuua Magu tu, mbona mke wake au walinzi wake hatukuona wanakufa au Mama yake aliyekuwa dhaifu mbona hawakuguswa? Maana tuliambiwa covid ikigusa mmoja tu lazima family na waliokaribu nae lazima waguswe,Samia anajua Mengi mda utaongea tu,tutajua Mengi yaliyochini ya carpet
 
Una uhakika na ulichokiandika? Kwanza siyo kweli kama COVID 19 ikimpata mmoja kwenye familia mtakufa wote. Kama ni hivyo Tanzania tungekuwa tumekufa wote kwa vile hakuna familia haikupata mgonjwa wa COVID 19. Ukweli ni kwamba COVID 19 huua hadi 30% ya walioambukizwa.

Pili wewe hujui interaction ya Magufuli na familia yake ilikuwaje. Huwezi kuwasemea kwa nini ueue alikuwa na wengine hawakufa.
 
Kumbe hujui control fundamentals,bila feedback utalii kuishnei.
Mkuu, nakuapia hata kama wangekuwa wanajua, kwa chuki kali walizonazo dhidi ya huyu mama wallahi watakuwa washasahau na hawawezi kukumbuka tena mpaka wanayemchukia atakapomaliza musa wake. Soma comment #3 ujue kiwango cha hasira walichonacho dhidi ya huyu mama.

Ninachoweza kusema, chuki ya walinda legacy kwa mama ni tofauti na wanayopayuka humu......kimsingi hawampendi tu kutokana na 'itikadi' zao na hofu waliyonayo na kupiga hatua za maendeleo maana hawaishi kulazimisha ushindani kati yao, hawayasemi kamwe anayoyafanya ili kuyaficha n.k
 
Leta ushahidi wa unachodhania vinginevyo ni porojo unaendeleza.
 

Mengine yooote yanabakia kuwa maoni yako tu, ila wenye akili timamu tunajua kilichomuua JPM…. hatusubiri porojo za mtu yeyote yule.
 
Leta ushahidi wa unachodhania vinginevyo ni porojo unaendeleza.
Kama una kisomo cha kawaida huhitaji kunidai ushahidi, mambo yako wazi kwenye mitandao. Nenda kasome tu haina haja ya ushahidi kutoka kwangu
 
Mengine yooote yanabakia kuwa maoni yako tu, ila wenye akili timamu tunajua kilichomuua JPM…. hatusubiri porojo za mtu yeyote yule.
Wewe ni msukule tu wa Magufuli, hatutajangaika na wewe. Nani aipigir porojo Ile maiti ilikuwa inatembea nanyi wajinga mnamuita Chuma au Jiwe!!
 
Wewe ni msukule tu wa Magufuli, hatutajangaika na wewe. Nani aipigir porojo Ile maiti ilikuwa inatembea nanyi wajinga mnamuita Chuma au Jiwe!!

Ongeza juhudi ujifunze kuandika kwanza, ukishajua urudi tutajadili mambo makubwa kama haya.
 
Hivi kifo cha JPM akiwa rais wa nchi imekuwa promotional material ya utalii wa Tanzania ? Mbona Kenya hawajamtangaza Mwai Kibaki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…