Anadai mapato yameongezeka hadi Billion 390 na hivyo kupunguza utegemezi. Amepunguza Rushwa na wanao utashi. Na wametunga sheria mpya na kuimarisha TAKUKURU. Anadai makali ya TAKUKURU yameonekana
Nimepigiwa simu na jamaa yangu....... Huyu jamaa angelipumzika tu. Naona hili tatizo lake la ugonjwa ni kubwa zaidi ya wanavyotuambia. Dr. Slaa ndiyo kwanza kamzidishia hiyo hali. Mungu bariki na TV zote leo ziko LIVE. Mchimba shimo....