Elections 2010 Uzinduzi wa Kampeni Za CCM - from ITV

Elections 2010 Uzinduzi wa Kampeni Za CCM - from ITV

Anasema kwa nini Watanzania wahangaike na "Wanaonukuu" au "Photocopy" wakato Original ipo?
 
hivi kweli Kikwete kalinda nchi yetu??? Mbona shilingi inazidi kuporomoka???
 
Ameanza kuelezea yale ambayo CCM imeyatimiza . . . . anasema kwa kujidai.
Uhuru wa Kuabudu
Muungano
Umoja
Uhuru wa Vyombo vya habari . . .
 
Jamii Forums imepigwa madongo tayari....
 
mkulu naona kachapa kubwa kuhusu mitandao

hahahaaaaaaaaaaaa... he is reading these networks
 
Anadai kuna Message zinasambazwa kwenye Mitandao lakini hazisaidii kitu . . . Watanzania hawadanganyiki
 
Anadai mapato yameongezeka hadi Billion 390 na hivyo kupunguza utegemezi. Amepunguza Rushwa na wanao utashi. Na wametunga sheria mpya na kuimarisha TAKUKURU. Anadai makali ya TAKUKURU yameonekana
 
Hivi BWM hayupo? au katuliza mzuka pembeni kama hayupo au yuko nje kwenye madili yake aliyoyaacha siku nyingi na akina Tonny Blair.
 
Nilijua wataleta vitoto maana wamekuwa wakivitumia sana ili kuongeza idadi ya Umati wa watu.....
 
TOT Wanatumbuiza sasa JK amechukua ameweka Waaaa
 
Makamba anasingizia mwezi wa ramadhani eti jakaya swaumu imemshika
 
Watu wamechanganyikiwa wakulu . . . Makamba anawaomba wakae
 
Nimepigiwa simu na jamaa yangu....... Huyu jamaa angelipumzika tu. Naona hili tatizo lake la ugonjwa ni kubwa zaidi ya wanavyotuambia. Dr. Slaa ndiyo kwanza kamzidishia hiyo hali. Mungu bariki na TV zote leo ziko LIVE. Mchimba shimo....
 
Anawaomba Watulie . . . Mungu atampa Nguvu . . . TOT bado wanaendelea . . . Du!!! Ni Noma sana wakulu. Inatisha
 
Back
Top Bottom