ACHA SPECULATIONS HIZO WEWE.....
Maadili gani hayo kufurahia mtu anapoumwa? Huo ni u saddist......
Mwanadamu yoyote anaweza kuumwa saa yoyote, wakati wowote, mahala popote....ndio maana akaitwa MWANADAMU...
Soo achana na ushabiki wa mambo haya....BE REASONABLE
Wewe mbona unakuwa mtu wa ajabu. unamshambulia Supermana kwa kitu ambacho amesema kweli.
Angalia namna alivyoanza aliporudi kuhutubia. Ona alivyo-loose self control and confodence in speaking. Ona alivyohangaika kutafuta nini cha kusema. Mwisho angalia namna anavyoimalizia hotuba yake na kitendo chake cha mwisho jukwaani.
Wale wanaofahamu mambo yakuzungumza au kufanya jambo mbele kadamnasi, litakapotokea limepata dosari kama ya Kikwete ili mengi yasije ibuka wanamshauri muhisika kukatisha hiyo kazi.
Ni busara kumshauri kukatisha kuliko kumruhusu aendelee mpate aibu nyingine tena.
Ndiyo nimesema aibu, kwasababu angalia hata namna Chiligati na wakina Makamba wanavyoshindwa kuzungumza kwa ujasiri baada ya hili.
Pili, usikurupuke kumshambulia mtu wakati watu wanajiuliza, kwanini iwe yeye tu? Kuanguka kwenye kadamnasi mara 3 katika kipindi cha miaka mitano.
Mara alikuwa katika mfungo...2005
Mara niuchovu then kunamatatizo katiak damu..2010( nisahihishwe mwaka)
Leo ,...alikuwa katika mfungo.
Mbona kuna wachezaji wanacheza mpira hali wamefunga?