Elections 2010 Uzinduzi wa Kampeni Za CCM - from ITV

Elections 2010 Uzinduzi wa Kampeni Za CCM - from ITV

Naam, sasa tunaondoka hapa Jangwani. Hali sio nzuri kihivyo. JK anaweza akapata matatizo zaidi kwenye Kampeni zake.
Hivi kwenye massive campaigns kama za Obama huyu jamaa angeweza kweli?
 
protocol imevunjika hapa jakaya anakula kona kwa kasi kule vumbi tu
 
Kamaliza HOTUBA.

Huenda ameshauriwa aikatize

ACHA SPECULATIONS HIZO WEWE.....

Maadili gani hayo kufurahia mtu anapoumwa? Huo ni u saddist......

Mwanadamu yoyote anaweza kuumwa saa yoyote, wakati wowote, mahala popote....ndio maana akaitwa MWANADAMU...

Soo achana na ushabiki wa mambo haya....BE REASONABLE
 
Naona AMBULANCE imeunga nyuma ya msafara wa JK wakati anaondoka
 
This is a very Big challenge to CCM..inabidi wawe wanakwenda na ambulance kila kwenye kampeni na JK inabidi aachae kufunga vinginevyo mchakato utamshinda na kushindwa kwa kishindo!!
 
Naam, sasa tunaondoka hapa Jangwani. Hali sio nzuri kihivyo. JK anaweza akapata matatizo zaidi kwenye Kampeni zake.
Hivi kwenye massive campaigns kama za Obama huyu jamaa angeweza kweli?

MASSIVE CAMPAINGS ndio ZIPI HIZO?

Last Campaingn, JK ametembea kwa GARI kwenye kampeni zaidi ya Km 58000....tena za barabara ambazo sio kama Za MAREKANI...hivyo..sidhani kama kuna hoja hapa juu ya yeye kuweza the so called massive campaigns kama ZA OBAMA
 
Kurudi jukwaani ilikuwa ni kuonesha kuwa Rais bado ana nguvu na yupo kwenye command ya uongozi wa nchi. Hivyo tusiwe na wasiwasi. Huenda utabiri wa kutokuwa na uchaguzi mwaka huu utaletwa na mambo kama haya. Mungu amsaidie JK wetu ampe maisha marefu yenye afya na nguvu ili ashuhudie jinsi Rais Dr. Slaa atakavyoiongoza nchi.
 
Mrema hakuja kuwasaidia leo? Angelikuwa burudisho safi kabisa. Hata kaka Lipumba angelialikwa nina imani angelikuja.
 
massive campaings ndio zipi hizo?

Last campaingn, jk ametembea kwa gari kwenye kampeni zaidi ya km 58000....tena za barabara ambazo sio kama za marekani...hivyo..sidhani kama kuna hoja hapa juu ya yeye kuweza the so called massive campaigns kama za obama

pole sana ndugu kama limekugusa. Huo ndo ukweli taka usitake
 
This is a very Big challenge to CCM..inabidi wawe wanakwenda na ambulance kila kwenye kampeni na JK inabidi aachae kufunga vinginevyo mchakato utamshinda na kushindwa kwa kishindo!!

Tumuombee mheshimiwa J.K kudondoka ni ajali tu...yeyote ingeweza kumpata popote hata wewe..........mbona wengine wamedondoka wakiwa ****** mbona hamjasema?
 
ACHA SPECULATIONS HIZO WEWE.....

Maadili gani hayo kufurahia mtu anapoumwa? Huo ni u saddist......

Mwanadamu yoyote anaweza kuumwa saa yoyote, wakati wowote, mahala popote....ndio maana akaitwa MWANADAMU...

Soo achana na ushabiki wa mambo haya....BE REASONABLE

Mkulu; mbona unakuwa mkali? Mimi nareport kama ninavyoona. Chiligati alitangaza kuwa JK atazindua Ilani ya Uchaguzi. Sasa mengi hayajaongelewa kam Afya; Elimu; Miundombinu nk.

Kwa akili ya kawaida haikupi tabu kutambua kuwa Hotuba huenda imekatishwa. Muda alioutumia kwa Hotuba sidhani hata kama unafika saa moja.

Sina chuki wala ubaya na Rais wangu Kamanda. Ila yaliyotokea ni hali halisi.
 
TOT Wanatumbuiza sasa JK amechukua ameweka Waaaa
Hawa TOT nao mtu yuko chini wao wasema kachuku kaweka waaaaa..................., ina maana JK kaweka kura yake chini haikuingia kwenye ballot box.
 
Ila mimi nina wasiwasi huenda hii ni campaign strategy ya kuondoa attention kwa wagombea wengine wote na watu ku-focus kwa JK katika siku ya mwanzo ya campaign. mwaka 2005 alianguka siku ya mwisho ya campaign Mkapa akatwambia alikuwa amefunga japo haikuwa mwezi mtukufu kama leo ambapo sababu ipo wazi kabisa kuwa swaumu, Ila kama ilikuwa swaumu 2005 basi leo angekula tu akaja lipa baadae kwani inaruhusiwa kama una afya mbovu. lets watch the trend mpaka trh 30 October. Otherwise tumwombee nguvu na afya njema, he's our president tumwombee mema. Watanzania linapokuja suala kama hili wote tunaungana pamoja.
 
Kwa sasa Uzinduzi umeshamalizika na TV zote: ITV, TBC na Star TV wanaendelea na vipindi vingine.
 
Kuna watu wanapiga mzigo kwennye jua kali kipindi chote cha ramadhani kwa masaa nane na ushee na awapati matatizo. Sasa huyu katoka kwenye kiyoyozi kuja kuhutubia kwa lisaa limoja anaanguka,lazima afya yake inawalakini.Bora Makamba atueleze ana matatizo gani badala ya kusingizia swaumu
 
MASSIVE CAMPAINGS ndio ZIPI HIZO?

Last Campaingn, JK ametembea kwa GARI kwenye kampeni zaidi ya Km 58000....tena za barabara ambazo sio kama Za MAREKANI...hivyo..sidhani kama kuna hoja hapa juu ya yeye kuweza the so called massive campaigns kama ZA OBAMA

Tumuombee mheshimiwa J.K kudondoka ni ajali tu...yeyote ingeweza kumpata popote hata wewe..........mbona wengine wamedondoka wakiwa ****** mbona hamjasema?

You two, your presence at JF is welcomed. 🙂)
 
Hivi CCM na Umafia wao wote, kwa nini wanakosa mtu pacha wa Kikwete?

Ingelikuwa Urusi, tungeliona mtu kakaa jukwaani safi na akaja tu kupungia watu mkono na kusema anaumwa (sauti kapoteza), wakati Rais mwenyewe angelikuwa kapumzika zamani nyumbani.

Salaama acha kufokea watu hapa. Kwanza una sound kama Malaria Sugu. Angalia Mods wasikutembezee panga kwenye hiyo IP yako.
 
Mengi ameonyesha bado ana kisasi na kikundi kilichomkimbia cha Ze Komedi... Walipokuwa Wanatumbuiza jukwaani yeye anatuonyesha WADANGANYIKA ambao leo wamekwenda kudnganywa pale Jangwani... Maskini wadanganyoka wale!
 
Back
Top Bottom