Ukirusha jiwe na ukasukia Mamaaaa weeeeeh ujue limempataSikiliza hotuba ya Kikwete pale Jangwani hapo jana (21/8/2010) hasa kuanzia dakika ya 3.40 kuendelea. Hapo utamsikia Kikwete akiponda message za kwenye mitandao. Je ame-target JF specifically? Na Je, alichosema ni kweli? Na kama ni kweli kama tunajisumbua, kwa nini amepoteza muda kutuzungumzia kwenye hotuba yake? Mimi binafsi nahisi tumemgusa na tunamtisha. Wewe waonaje?
"...kwenye mitando huko kuna message nyingi,.... hivi, hivi, hivi,...wanajisumbua...wanajisumbua! Watanzania hawa hawadanganyiki...."
mdharau mwiba......
Nadhani baada ya Malaria Sugu kuzidi kuekwa kwene kikaangio atazidi kukereka bwe he he he..
Hata kama kuna mitandao ya chuki na udini etc, mbona hajatoa solution ya namna ya kukwepa uwepo wa mitandao?? Hizo complex data unazoongelea ziko wapi? Hizi za uchumi kukua na maisha bora kwa kila mtanzania au nyingine?? Maana inawezekana wote ni mavuvuzela ila kwenye stage na malengo tofauti tofauti. Think about it.Simply; Kikwete amelaani mitandao inayo eneza chuki na ukabila yenye malengo ya kuwatenganisha watanzania, kamwe watz hawatdanganyika. Hii ni message ya ku promote umoja kwa watanzania
Mavuvuzela wanashindwa kuelewa simple message, je mtakuwa na akili za kudadis complex data na messages? JF imeingiliwa!!!
Hata kama kuna mitandao ya chuki na udini etc, mbona hajatoa solution ya namna ya kukwepa uwepo wa mitandao?? Hizo complex data unazoongelea ziko wapi? Hizi za uchumi kukua na maisha bora kwa kila mtanzania au nyingine?? Maana inawezekana wote ni mavuvuzela ila kwenye stage na malengo tofauti tofauti. Think about it.
Simply; Kikwete amelaani mitandao inayo eneza chuki na ukabila yenye malengo ya kuwatenganisha watanzania, kamwe watz hawatdanganyika. Hii ni message ya ku promote umoja kwa watanzania
Mavuvuzela wanashindwa kuelewa simple message, je mtakuwa na akili za kudadis complex data na messages? JF imeingiliwa!!!
Anashukru kwa kupewa heshima ya kupeperusha bendera ya CCM. anadai hawatawaangusha. Watatumia uwezo wao woote kufanya kampeni
JK anakasirikia mitandao maana anajua kuna njia ya kuthibiti yanayojadiliwa.
Mitandao ina nguvu kuliko magazeti maana wachache wanaochangia katika mitandao wako huru kuliko waandishi wa magazeti ambao ni waoga.
Wapo ambao wanasoma habari kupitia mitandao hali inayosaidia kupata habari;
HURUMA KWA WAGONJWA. Hivi CCM huwa ina huruma kwa hawa dada/wake/mama zetu?
Unanikera na hiyo avatar yako ya chacha-dele-mama!Imejaa shari tupu!