Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za CCM jijini Mwanza - Kuelekea Septemba 7, 2020

Joined
Aug 8, 2013
Posts
10
Reaction score
33
Leo, Septemba 6, 2020, Mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Joseph Pombe Magufuli yupo safarini kuelekea jijini Mwanza kwa uzinduzi rasmi wa Kampeni za CCM mkoani humo.

Fuatana nasi kwa updates za kinachojiri








MGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA KISESA MWANZA





Wananchi wa jiji la Mwanza wakiwa wamejitokeza kwa wingi katika maeneo ya Igoma, Nyakato Buzuluga na Mabatini jijini Mwanza kumpokea Mgombea wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ambaye amewasili mkoani Mwanza kwa ajili ya Mkutano wa Kampeni za Urais



Mapokezi ya Mgombea Urais eneo la Kisesa jijini Mwanza
 
Hilo nyomi la Mwanza limewavuruga kabisa akili, hujaona nyumbu wameanza kulalamika eti kwanini anaongea sana kisukuma, na mwingine akahoji eti pale aliposhuka alikuwa ameenda kumuona nani
Wao wanakodi pikipiki wanaanza msafara lakini hapa ni watu wako pembeni mwa barabara hakuna honi za hovyo hovyo wala maandamano
 
Sasa wewe ni verified member wa kitengo nyeti Cha taasis kubwa kama CCM lakini miaka saba upo humu hata avatar tu umeshindwa kuweka?

Picha yenye Logo/Bendera ya CCM umekosa?
 
Lazima wakawashangae walinzi na magari ya mitambo ambayo hawajawahi kuyaona
 
Siku zote nyie munawaelewa tu Wasukuma kwenye hii nchi ndio wanaotubebea mizigo
 
Mie ni mkazi wa mwanza , nyamagana maeneo ya lango lango -kata ya mbugani .
watu waliokuwa kemye mkutano wa lisu ndo wakazi wa ilemela & nyamagana. watu wanaoonekana kwenye mikutano ya sisiem ni wa ilemela , nayamagana, misungwi, bariadi, magu, na hata bunda na musoma. kazi ya kusomba watu ipo na inafanyika. na kuwaandaa watu kusimama na mabango pia......
 
Weka picha za malori na mabasi ya kusafirisha watu. Mama Maria Nyerere tukuombea maisha marefu kwa kujitenga ulaghai wa hawa watu waliofilisika kisera na kihoja.

Mheshimiwa endelee tu kutumia lugha ya Kisukuma analindwa na hadhira ikiwa ni kinyume na taratibu za maadili ya uchaguzi.

This is par excellence fear of unknown, fear of Tundu Lissu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…