mtanzania1989
JF-Expert Member
- May 20, 2010
- 4,068
- 6,758
Mkutano umejaaa watoto, wanafunzi wabibi na wazee ndio mtaji wa ccm?
Huo sio mkutano, acha ushamba, mkutano ni kesho tar 7, hiyo ni nyomi tu ya njiani akiingia Mwanza kutokea Mara leo.
Mkutano rasmi Kirumba kesho.