Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za CCM jijini Mwanza - Kuelekea Septemba 7, 2020

Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za CCM jijini Mwanza - Kuelekea Septemba 7, 2020

Mwanza yote ni kijani hilo halina ubishi,October 28 ushindi ni asubuhi tu, kura zote kwa Magufuli.
 
Mie ni mkazi wa mwanza , nyamagana maeneo ya lango lango -kata ya mbugani .
watu waliokuwa kemye mkutano wa lisu ndo wakazi wa ilemela & nyamagana. watu wanaoonekana kwenye mikutano ya sisiem ni wa ilemela , nayamagana, misungwi, bariadi, magu, na hata bunda na musoma. kazi ya kusomba watu ipo na inafanyika. na kuwaandaa watu kusimama na mabango pia......
Endelea kulalamika! Malalamiko FC!
 
Ni wapi tunahoji vibari vya tbc kurusha hizo drones?.
 
Msafara wa kampeni za uchaguzi hauna tofauti na Tigo Fiesta.

Namhurumia sana Meko.
 
Hilo nyomi la Mwanza limewavuruga kabisa akili, hujaona nyumbu wameanza kulalamika eti kwanini anaongea sana kisukuma, na mwingine akahoji eti pale aliposhuka alikuwa ameenda kumuona nani
Haha hahaa!. Angepita kimnya kama Mh Lisu bila ya kufunga barabara kwa saa zima huku maving'ora ya mapolisi kipigwa ovyo ovyo tuone angepata nani. Alafu kwa kuwa wanaowania urais ni wengi wangepewa msafara sawa na ulinzi kama wa huyu Meko ili tuwapinanishe nguvu.
 
Kwani kuna lipi kubwa magufuli kafanya mwanza kumshinda Lissu kwenye kampeni zake????
Magufuli bila fiesta hakuna lolote lile. Watu wanaenda kusikiliza fiesta tu.

Kampeni pekee ni za Tundu Lissu tu, mtu hana wasanii, Hana coverage kubwa ya vyombo vya habari, Hana tume wala polisi na hata fedha zenyewe anachangisha, habebi watu kwenye maroli wala kuongea kilugha kuhamasisha kampeni za kikabila. Ila anakusanya nyomi la kipekee linaloenda kumsikiliza kwa mapenzi ya kweli tu.

Huyo magufuli wenu hana lolote!! Lissu atosha!
 
Ila mzee kwa anayopitia saivi hata akipita hatatamani kuongeza hata nukta ya miaka mingine. Hotuba zake zimekaa kinyampalaa anhekuwa na balora laribu angekuwa anacharaza watu fimbo 😁😂😀
 
Endelea kulalamika! Malalamiko FC!
Kama Chadema ni malalamiko fc basi Ccm na magufuli ni mafokeo fc maana si kwa kuwafokea kule wana busega leo na wana bunda kama kuwa hapeleki maendeleo kwa wapinzani huyo mbaguzi wenu mkubwa
 
Tunasubiri za kwenu muunganishe kwanza nyomi la Lowasa 2015
Haha hahaa!. Angepita kimnya kama Mh Lisu bila ya kufunga barabara kwa saa zima huku maving'ora ya mapolisi kipigwa ovyo ovyo tuone angepata nani. Alafu kwa kuwa wanaowania urais ni wengi wangepewa msafara sawa na ulinzi kama wa huyu Meko ili tuwapinanishe nguvu.
 
Back
Top Bottom