Zanzibar 2020 Uzinduzi wa kampeni za CCM Zanzibar: Mwinyi kuhakikisha Zanzibar inanufaika na bahari, kuleta Upendo na amani

Wajinga ndio waliwao. Yaani hayo mambo hajayafanya shein wala karume ndo aje kuyafanya yeye? Tena mtu kutoka bara? Makubwa!.
 
Duh, CCM wameamua Zenji... Kila la kheri ndugu yangu Hussein, nakuombea ushindi
 
Shein aliahidi by the time anaondoka madarakani Zanzibar ingekuwa kama Dubai. embu mliotembelea Zanzibar recently mtujuze Dubai mpya huko yaonekanaje?
 
Mkijaamka toka kwenye ndoto zenu za mchana Mwinyi ndio atakua anatoa hutoka kama Rais wa Zanzibar, endeleeni na propaganda mwinyi anatoa sera uko
Hamna ishu, endeleeni kukusanya watu na wengine kuwaleta kwa mitumbwi waje waonekane wengi.
 
Hiyo nyomi ya leo ni salamu kwa maalim seif,Aendelee kusema ataleta vurugu huko zanzibar wakat hana watu....
Izo kura za kushinda anazozisema sijui atazitoa wap
 
UPUUZI MTUPU!


Kikichotokea Mwanza ni mafuriko ambayo yaliwafanya wapinzani wabadilishe ratiba za Kampeni hadi leo wengine hawaelew waanzie wapi
 
Watanzania wote hakuna wakati muhimu wa kuungana na kuonesha ushikamano wa kitaifa kama wakati huu kwa sababu kuna watu wamekaa nje ya nchi kwa mda mrefu wamepoteza uzalendo na utaifa .Tusimama na mzalendo makini.
 
Kusanyeni sababu na malalamiko yote kabisa ili baada ya trh 28 muwe na chakuzungumza
Hatuhitaji trh 28 ifike ndio tuzungumze, mwaka huu ndio mmejiabisha mno, mpaka najiuliza, CCM Zanzibar hamkuumbwa na aibu ndani ya nafsi? mkafoji form yaani mlivo wajing.a form inasema tarehe 7 mwezi wa 7 ndio kala kiapo, ilhali ni siku ambayo hakuna ofisi za serikali. AIBUUUUU kuliko ile ya 2015! Tutakurudisha kwenu kwa mtumbwi! 😀
 
Mzaramo kapelekwa kwa wamakunduchi,,, duu zanzibar kazi mnayo msipojiongeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…