Zanzibar 2020 Uzinduzi wa kampeni za CCM Zanzibar: Mwinyi kuhakikisha Zanzibar inanufaika na bahari, kuleta Upendo na amani

Kofia zimeandikwa Dr Shein ila mgombea ni dr Hussein. Hii imekaaje ndg zangu? Au ni macho yangu![emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Zanzibar ni tunaenda na Hussein, Maalim atatusamehe.


Hizo ajira laki 3, si mzitoe hivi sasa mnayo serikali , mnasubiri kitu gani ???? Mwogopeni Allah kwa uongo wenu , Allah anasema ahadi zitaulizwa. Mliachiwa miaka 56 hii hakuna chochote cha maana isipokuwa kuzidi njaa na umasikini.

Mara hii mtaondoka tu au tutakufa pamoja.
 
Hatutaacha kuwakumbusha ninyi pamoja na viongozi wenu kuwa propaganda hazikupi kura ila sera, umemsikia Dr. Mwinyi akizungumza propaganda yoyote leo? yuko very straight na sera zake na mikakati, sasa tutege sikio kesho, yaani upinzani wa bongo ni wa hovyo walopokaji wengi
 
uo utopolo wa ansbert ndo upuuzi, sidhani kama tundu lisu na salumu wanalala wakijitathmini wanaweza kuwa rais na makamu


Huyo Shein na Phd anashindwa na walevi akina Borafia si msiba huu. Miaka 10 nchi amezidi kuididimiza na kuwadhulumu masheikh na wananchi wa Zanzibar
 


Hayo mashamba ya watu aliyojimilikisha baba yake Mwinyi na familia ekari 60 000 kule Morogoro hayawatoshi mpaka aje afanye ufisadi huku Zanzibar?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…