Zanzibar 2020 Uzinduzi wa kampeni za CCM Zanzibar: Mwinyi kuhakikisha Zanzibar inanufaika na bahari, kuleta Upendo na amani

Mwinyi CCM siyo yako wewe umeikuta na CCM haijawahi na haitaki kuwa na upendo, utashuhudia hili utakaposhindwa uchaguzi na wewe ndiye utapewa urais na hautaukataa.

Mwinyi anza na chama chako kiambie uchaguzi wa tarehe 27 hautakuwa halali kwani umetengwa kwa ajili ya kura za CCM, uchaguzi halali ni ile wa tarehe 28.
 
Mkishindwa mkubali msifute uchaguzi wala msianzishe tafrani kupitia Policcm ama wale wahuni wenu.
 
Ndio nn uchafu huo..... Mmebeba watu kutoka Bara na bado ni vimtu tu.... Sasa subiri babalao Seif eo
 
VITU VYA MSINGI KWA WAZANZIBARI VINAJUILIKANWA WAZI KABISA

1) Mamlaka kamili ya Zanzbar kujiamulia mambo yake mwenyewe BILA kuomba ruhusa kwa kikundi cha sisiem BARA mfn Mikopo, Udhamini nk.

2) Kuachiwa HURU kwa Mashehe, Ambao mpaka leo zaidi ya miaka 6 kesi yao inapigwa dani dani tuu bila haki kutendeka ( kama alivosema NDUGAI kumwambia Mh.Lissu kuwa mgombea wao wa CHATO "ana nyama" basi tunamuambia pia na MASHEHE "wana nyama" na wana Familia pia wawatendee haki, Dhulma haisaidii kitu)

3) Uhuru wa Zanzibar Kutumia rasilimazi zake wenyewe, kama MAFUTA nk

4) Makero ya Muungano ikiwemo kodi ( Hivi sasa Mzanzibari analipia bodi za mapato zote TRA na analipia ZRB ), pia Sulubu anayoipata Kuingiza mzigo/bidhaa BARA utasema nchi zina Uhasama.



Na mambo mengi mengi ambayo kimsingi yanahitaji muda kuyaeleza


Hayo yote mgombea wa Sisiem anayaruka kama hayaoni..

Kwanini tuendelee kuteseka na Alternative way ipo!!?

Nchi zina utajiri mkubwa lakini wananufaika wachache (kwa faida ya nani!?)


HATUTAKI JANJA JANJA ZA KIKUNDI CHA SISIEMU

MAALIM NDIO KIPENZI NA SULUHISHO LA WAZANZIBARI
 
Seif under ACT wazalendo ni balaa lao linawashukia CCM na ntu wao.
 
Propaganda, Mwinyi anakubalika na anakwenda kushinda. Msikilize sasa anazungumza kisha tuje tujadili kama hajui kuongea na amekua waziri wa wizara nyeti
kuwa waziri wizara nyeti hakumfanyi awe mzaznibari, Ni muhamiaji haramu, CCM wenyewe hawamtaki,wanalazimisha watu waende mkutano wake, kwa kifupi hana kaniba ya kuongoza hata familia yenye mke zaidi ya mmoja.
 
aisee nimekosa fursa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…