Zanzibar 2020 Uzinduzi wa kampeni za CCM Zanzibar: Mwinyi kuhakikisha Zanzibar inanufaika na bahari, kuleta Upendo na amani

Huku Zanzibar tunamuelewa sana Mwinyi kuliko chochote
 
Ushauri wangu kwa Mwinyi baada ya kuapishwa inabidi amtafutie kazi ya kufanya ndugu Maalimu kwa sababu ndio kipindi chake cha mwisho cha kugombea ,, tunatambua mchango wake kwa nafasi aliyokua nayo kabla lakini sikubaliani na tamaa zake ,,, ukweli ni kwamba maalimu ni zaidi ya Mwananzira .
 
Mapinduziiiii!
Daima!
 
Sisi kama wazanzibari tunakubali hapa tulipo kwa sababu tunamshikamano wa kitaifa bila kujali maneno ya wahuni na watu wenye husuda nitaendelea kuamini mfumo wa vyama vingi lakini chama pekee ambacho kitaiwezesha kuipeleka Zanzibari Ni CCM na sio kingine kwa sababu kinaenzi mapinduzi na Muungano kwa Ujumla mtu pekee wa kupeleka mbali zanzibari ni Dkt H.A.H.Mwinyi.
 
Natamani kuoa picha πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚ vile watu wanasombwa saa hii kutoka bububu, mpakanjia, mchambawima, kibandabamaiti, mwanakwerekwe and the like.😎
this time hamtoboi
Mmeshashauriwa juu ya ndoto za mchana lakin hamshauriki. muda wote nyie ni prpopaganda tu
 
Kiukweli mtu sahihi na mwenye weredi anatakiwa kuiongoza Zanzibar na sio mwingine bali Dkt. Hussein A.H. Mwinyi kwa sababu hana doa lolote na wala hana madeni.
Kabisa Zanzibar inahitaji mtu makini nawenye weledi Kama Dr Hussein Mwinyi
 
Natamani kuoa picha πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚ vile watu wanasombwa saa hii kutoka bububu, mpakanjia, mchambawima, kibandabamaiti, mwanakwerekwe and the like.😎
this time hamtoboi
Kiukweli ujapima vizuri,, fikilia upya ndugu yangu lakini watu wanatembea kwa usafili siku hizi sio kwa miguu ,, unavyosema wanasombwa unawakosea sana wao sio mizigo,,sema wanaenda kusikiliza sela safi za Dkt H.A.K.Mwinyi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…