Jameson-journalist
Member
- May 2, 2023
- 17
- 12
Naibu Waziri Wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe amezindua sheria na kanuni za urutubishaji wa chakula ya mwaka 2024 ambao umefanyika katika ukumbi wa chandamali manispaa ya songea.
Katika uzinduzi huo umelenga kuongeza virutubisho muhimu kwa kuimarisha afya na kupunguza magonjwa yanayosababishwa na upungufu wa virutubisho hivyo.
"Sheria na kanuni hizi muhimu katika kuhakikisha afya za watanzania zinakua endelevu katika maisha yetu ya kila siku"Alisema Kihage.
Aidha amesema Rais samia aliweza kusign kanuni na sheria zitakazoweza kusimamia kuongeza lishe na virutubishi muhimu katika chakula ili kupunguza magonjwa mbalimbali yanayo tokana na kupungua virutubishi kwenye chakula.
"Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hasani alipokuwa akisaini mkataba wa lishe na waheshimiwa wakuu wa mkoa mwezi Septemba 2022 katika hafla hiyo mheshimiwa Rais alitoaaelekezo mahususi kwa wizara ya viwanda na biashara kuhakikisha inatengeneza kanuni zinazoendana na mahitaji ya kupunguza changamoto za kilishe hususa ni utapiamlo, udumavu na upungufu wa vitamini A"Alisema Kihage
Pia awewaasa wadau kutoka sekta mbalimbali kuweza kuzingatia utekelezaji wa wa kanuni na sheria hizo ambazo zitahusisha kurutubisha vyakula hivyo ambayo ni unga wa mahindi, mafuta, unga wa ngano na chumvi kwa lengo la kufanikisha mpango huo wa kutumia vyakula vyenye virutubisho bora.
"Lakini pia naomba niseme wazi lazima tupeane mda wazalishaji wote katika unga wa mahindi, unga wa ngano,mafuta na chumvi baada ya kanuni hizi baada ya miezi saba kuanzia mwezi wa desemba Chombo cha kusimamia Ubora (TBS)waanze kukagua wote wanao zalisha hivyo waweze kuweka virutubisho"Alisema Kihage
Alimalizia kaa kusema kuwa elimu ni muhimu kwa jamii ili kuweza kuwapa umuhimu wa matumizu wa virutubisho hivyo lakini pia jinsi ya kujifunza kulinda afya za watumiaji wa bidhaa mbalimbali.
Naibu Waziri Wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe