Uzinduzi wa Sinodi ya 16 ya Maaskofu Katoliki Duniani: Homilia ya Askofu Mkuu Ruwaichi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam

Uzinduzi wa Sinodi ya 16 ya Maaskofu Katoliki Duniani: Homilia ya Askofu Mkuu Ruwaichi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam

Ni jambo jema sana kwa kanisa na sinodi hii itasaidia sana imani na kuimarisha misingi ya mama kanisa kama mwili wa kristu.Kingine natamani sana Askofu Ruwaichi angepewa ukardinali maana utendaji wake ni wa hali ya juu na mnyenyekevu mno.Kama itampendeza Papa natamani kuona hivyo.
 
HIYO U TURN HAITAHARIBU MISINGI YA KANISA KATOLIKI LAKINI...
Wana kitu kinaitwa MITAGUSO yaani mikutano yao ya Kiutume na maongozi.

Huwa wanabadilika kuendana na ukuaji wa jamii.

Jumuiya zao hawakuanza nazo zamani bali walipoona waumini wengi wana kiu ya kushiriki huduma za majumbani kama makanisa mengine walianzisha lakini malengo yao yalilenga kuimarisha parokia na huduma ya kiroho kufika kwa waumini zaidi
 
Ata mimi namkubali sana Askofu wetu wa jimbo kuu Mwenyewe anausemi wake mmoja "anachuchumilia"utakuwa Ukardinali

Back
Top Bottom