Tachu hano
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 1,506
- 2,518
Nikupinge au niache fujo..?
Hujui Nini maana ya sinodi ila reply ya juu unataka kupinga , Sasa unapinga kitu gani ??Sinodi ndo nini..?
Kutembea huko Kuna maana gani..?
Kusema kweli nazengwe kinyama sometimes huwa naamua hadi kulala tu ili nisijizingue maana nishapinda.We jamaa zengwe 😆😆😆😆😆
Nishaelewa mkuu toka huko juu ulivyoandika kwa maherufi makubwa! Sema nina vurugu tu..[emoji23]
Nishajibiwa we kalale tu.Hujui Nini maana ya sinodi ila reply ya juu unataka kupinga , Sasa unapinga kitu gani ??
Penda kujifunza , upumbavu hautokusaidia chochote mkuu.
sawasawaKusema kweli nazengwe kinyama sometimes huwa naamua hadi kulala tu ili nisijizingue maana nishapinda.
Wana kitu kinaitwa MITAGUSO yaani mikutano yao ya Kiutume na maongozi.HIYO U TURN HAITAHARIBU MISINGI YA KANISA KATOLIKI LAKINI...
HahahaNikupinge au niache fujo..?
Nishashiba sahivi mkuu sina neno zilikuwa njaa tu..😂Hahaha
Nipinge mkuu.
Nimewaza sahihi lakini rukhsa kukosoa mawazo yangu[emoji1787][emoji1787]
Acha fujo zako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nishashiba sahivi mkuu sina neno zilikuwa njaa tu..[emoji23]
Ni jambo jema sana kwa kanisa na sinodi hii itasaidia sana imani na kuimarisha misingi ya mama kanisa kama mwili wa kristu.Kingine natamani sana Askofu Ruwaichi angepewa ukardinali maana utendaji wake ni wa hali ya juu na mnyenyekevu mno.Kama itampendeza Papa natamani kuona hivyo.