Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo wapo madarakani kwa sasa?Kwani Mkapa na Kikwete hujawaona huko Nairobi?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 11, Febuari, 2020 anazindua Jengo la Manispaa ya Kigamboni na Jengo la Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni katika Eneo la Gezaulole Kigamboni Jijini Dar es Salaam
View attachment 1354187
Rais Magufuli akikata utepe wa uzinduzi wa Jengo hilo lenye gharama ya Bilioni 5.2
Gharama ya Jengo hilo ni Bilioni 5.2. Mshauri mwelekezi ambaye ni Chuo Kikuu Ardhi analipwa milioni 163 na Mkandaraesi analipwa Bilioni 5.1
Eneo la ofisi lina kubwa wa Mita za Mraba 8,000 lakini eneo lililopendekezwa kuwepo kwa Taasisi zote za Serikali ni Ekari 750. Jengo hilo linaweza kuchukua Watumishi 50 na limeanza kutumika tangu Agosti 30 mwaka 2019
View attachment 1354203
Jengo lililozinduliwa lenye Ofisi ya Manispaa na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Kigamboni
Kwani Moi alikuwa madarakani kwa sasa!Ndo wapo madarakani kwa sasa?
Wee jamaa ni duni sana ! hivi unajua hata kusoma na kuandika wewe ?Kwani Mkapa na Kikwete hujawaona huko Nairobi?
huyu jamaa bado kuzindua baloo lamitumbaViongozi wa Afrika Mashariki wamejaa Nairobi kumuaga mwenzao Daniel Moi sisi wa kwetu kaenda kusikiliza sifa zake kuzindua jengo la wilaya.
Hii ni aibu sana kwa EAC nzima, kweli jirani yetu kafiwa na mmoja ya viongozi walio changia sana kuirudisha EAC na sisi kung'ang'ania kuifanya kazi ambayo hata Jafo anaweza kufanya!
Tumeingia cha kike kwa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
😃😃hata wewe chimba shimo la taka then lipambe vizuri ukimuita aje kuzingua hana khiyana yule sheikh anakuja chap.
Hajaenda msibani hapo jirani?Siku akifa yeye nadhani watakuja wawakilishi tu hapa!
Ulitaka kulizindia wewe?Hivi jambo dogo kama hili haiwezekani kuzinduliwa na Waziri tu ?
Halafu jengo linaweza kuchukua watumishi 50 pekee yake! Nadhani kwa vile majengo yaliyozinduliwa ni mawili yaani jengo la manispaa na jengo la mkuu wa wilaya hizo bilioni 5.2 zimetumika kujenga jengo la manispaa ambalo halipo pichani na litakuwa ni kubwa zaidi ya hilo lililopo pichani. Hilo lililopo pichani litakuwa ni la mkuu wa wilaya na litakuwa limegharimu pesa pungufu zaidi.Yaani nashindwa kuamini kabisa hiki ninachokiana kwenye hili jengo, Kama yale maghorofa ya Hostel pale UDSM yamegharimu 10 bilioni, how kwa jengo kama hili kufika nusu na kidogo ya Mjengo ule ambao makondakta wanapaita Mjengoni.
CCM mnazichezea sana akili za watu wanaoshindwa kufikiri kwa kutumia akili zao na badala yake wanasubiri viongozi wafikiri na kunena kwa niaba yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilimradi jina liwepo kwenye jiwe la msingi hata kama ni choo ya matunduMzee habagui vitu vya kuzindua
1999 Moi alipokuja Mazishi ya Nyerere kwani Nyerere alikuwa madarakani?Kwani Moi alikuwa madarakani kwa sasa!
Mbowe amehudhuria maana huko ndio ofisi ya Tundu Lisu ilipo!1999 Moi alipokuja Mazishi ya Nyerere kwani Nyerere alikuwa madarakani?
Tumia akili sio kubwabwaja tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wanaenda kama nani?Kwani Mkapa na Kikwete hujawaona huko Nairobi?