Uzinduzi William TV: Dunia macho na maskio yote Dar, ni tukio la kihistoria

Uzinduzi William TV: Dunia macho na maskio yote Dar, ni tukio la kihistoria

William Malecela (Lemutuz) au makinikia kama anavyojulikana katika ulimwengu wa mitandao ya kijamii kwa sasa ameitikisa tasnia ya television nchini baada ya kutangaza ujio wa TV yake.

Masaa mawili baada ya kutangaza tu,wakurugenzi wa TV zote Kubwa nchini walifanya vikao saa.

Usiku kuona ni jinsi gani wanamdhibiti kabla hajawa tatizo huku wengine wakishauri aongezewe namba za supa mbebezz rangi ya mtume wamkeep bize
na kupoteza focus.

Lemutuz ambaye anajulikana kwa kuajiri vijana waliomaliza chuo kikuu pekee amedai mipango yake miezi ijayo ni kuanza kuuza ving'amuzi ambavyo hivi vitakuwa tofauti kidogo na vingine kwani king'amuzi hiki kitakuwa na Chanel moja tu ya Lemutuz TV.

Mdau nini maoni yako katika mapinduzi haya?
Ulimwengu wa wap?g
 
Hahahaha! Msaga sumu, katika ubora wake, nilimis post zako, subir atakuja kukujibu

inaonekana hapa kuna watu hawamuelewi msaga sumu, [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu ni mtani wa le super mbebiz lemutuz
 
Hahahha hebu muacheni Le mbebezi kada mwenzangu
 
Nilishasema humu vilaza ni wengi sana. Maana kama huyu ameona hii ni habari ya pekee kwake, maana ni sawa na kusema jana home walichinja mbuzi mkubwa so what?
 
Channeli moja ndiyo mapinduzi ? Mi nilidhani anakuja na king'amuzi ambacho kitaonesha kwa mfano watazamaji tunaingia uwanja wa Lugalo tunaona mechi ya Man U na Chelsea kama vile wanacheza uwanja wa Lugalo LIVE kumbe ni ujinga huo?
 
Channeli moja ndiyo mapinduzi ? Mi nilidhani anakuja na king'amuzi ambacho kitaonesha kwa mfano watazamaji tunaingia uwanja wa Lugalo tunaona mechi ya Man U na Chelsea kama vile wanacheza uwanja wa Lugalo LIVE kumbe ni ujinga huo?
hahahahaha kuku mgeni
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja nisindikize post kwa picha.
8b44433ffdee254f4bf929107705bd1f.jpg
Daaa hahahahaha Mungu amempa lemutuz roho ya uvumilivu sana tena sana hakika mimi nisingeweza vumilia kabisa haya ya mitandaoni..
 
Back
Top Bottom