Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,618
Utakua ni mgeni hapa chukua siti ukae ubaki kuwa mtazamaji
Kama MSAGA SUMU karudi mitamboni basi tusubiri nyuzi ya Madam nayo baada ya kujiunga na Chama Kikuu cha Upinzani.
Maana ndo vitengo vyake vikuu.