Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Hauna wazo lingine kabisaaa!! Hebu fikiria fikiria zaidi, au hadi niseme?Basi ngoja nibaki hivi hivi tu niumalize uzee wangu salama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hauna wazo lingine kabisaaa!! Hebu fikiria fikiria zaidi, au hadi niseme?Basi ngoja nibaki hivi hivi tu niumalize uzee wangu salama
Naona ile post ndio ilipelekea jamaa akala ban.Daaah jamaa kapigwa bana lini, @chinge juzi walipelekeana moto na lemutuz kwenye thread flan
Hao wanawake unaopiga nao picha huwa wanakupa ruhusa ya kuja kuwaanika sura zao huku?
Hapana shemeji, nataka awe padri.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Ha ha ha, watu wakienda kuungama kwake itabidi wasiitaje ile dhambi ilee.
Unataja zingine zingine halafu ile unaijumlisha kwenye "...na zingine zote nilizozifanya...".
Maana hachelewi kuomba demo.
Huyo huyo, ninamuombea sana shemeji.
mkuu unataka kuanza utotoaji wa vifaranga? Incubator ya nini tena![]()
- Kazi ya kujenga Studio inaendelea nategemea in the next 3 Weeks tutaanza majaribio ya kuruka hewani so stay tuned!
le Mutuz
hahaHAHAHAH WE mtu ni noma nimecheka sana
ahahaaaaa! you knowA nasubiri ifike page ya 30 atakuja