Uzinduzi William TV: Dunia macho na maskio yote Dar, ni tukio la kihistoria

Uzinduzi William TV: Dunia macho na maskio yote Dar, ni tukio la kihistoria

kwahiyo tutakuwa tunaliona lile tumbo kubwa kwenye tiviiii
 
William Malecela (Lemutuz) au makinikia kama anavyojulikana katika ulimwengu wa mitandao ya kijamii kwa sasa ameitikisa tasnia ya television nchini baada ya kutangaza ujio wa TV yake.

Masaa mawili baada ya kutangaza tu,wakurugenzi wa TV zote Kubwa nchini walifanya vikao saa 8 za usiku kuona ni jinsi gani wanamdhibiti kabla hajawa tatizo huku wengine wakishauri aongezewe namba za supa mbebezz rangi ya mtume wamkeep bize na kupoteza focus.

Lemutuz ambaye anajulikana kwa kuajiri vijana waliomaliza chuo kikuu pekee amedai mipango yake miezi ijayo ni kuanza kuuza ving'amuzi ambavyo hivi vitakuwa tofauti kidogo na vingine kwani king'amuzi hiki kitakuwa na Chanel moja tu ya Lemutuz TV.

Mdau nini maoni yako katika mapinduzi haya?
Hilo jitu ni kinikia lililotukuka kule kwetu wanaliita entabani.
 
..Sasa king'amuzi kiwe na channel moja tu chanini?
 
Ha ha ha lemutuz anavyopenda sifa sasa !!!! MTU aliyetembea huko duniani.!
 
Hahahaaaaaaaa Wallah nimecheka kama mwendawazimu.
Ni jana tu nilikuwa nalalamika nimemiss thread za MSAGA SUMU juu ya Le Mutuz.
Asante 🙂
Ameitikisa Tasnia ya habari! Massa mawili baada ya kutangaza ujio wake wakurugenzi wa TV Bongo wamekaa vikao masaa nane wakipanga namna ya kumdhibiti! 😀 😀 😀 😀
 
Ha ha ha lemutuz anavyopenda sifa sasa !!!! MTU aliyetembea huko duniani.!
ametembea sana duniani kushangaa lakini akili yake ni ndogo kuliko mtu aliyekulia shinyanga maisha yake yote. yeye akiwa kweney tiviiii huwa anajidai ati kwasababu ameishi sana nje ana uelewa mkubwa sana..hahahaha.
 
Hicho kisimbuzi atakigawa bure nini nitoe hela kununua dude lenye chanel moja?
 
how old is this folk?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Le makinikaz..
 
ametembea sana duniani kushangaa lakini akili yake ni ndogo kuliko mtu aliyekulia shinyanga maisha yake yote. yeye akiwa kweney tiviiii huwa anajidai ati kwasababu ameishi sana nje ana uelewa mkubwa sana..hahahaha.
Le mutuz ni kivutio cha taifa walahi!!! Namuonaga kama tapeli Fulani hivi.
 
Le mutuz ni kivutio cha taifa walahi!!! Namuonaga kama tapeli Fulani hivi.
sio tapeli, ni mtu anayejifanya ana uelewa kumbe zoro brain kabisa. ameishi nje zaidi ya 30 years lakini hajabadilika hata nukta. mwili mkubwa, tumbo kubwa, miaka zaidi ya 55 lakini dah, hadi huruma.
 
Ameitikisa Tasnia ya habari! Massa mawili baada ya kutangaza ujio wake wakurugenzi wa TV Bongo wamekaa vikao masaa nane wakipanga namna ya kumdhibiti! 😀 😀 😀 😀
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom