Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah Pole sana Aisee. Dogo Komaa na Shule, Hakikisha unasoma kwa bidii, Jiepushe na Makundi, Starehe na Wanawake.Wakuu bila shaka mnaendelea vyema.
Tumezaliwa watoto wanne , mimi nikiwa wa tatu.
Mtoto wa kwanza ni wa kike yeye aliolewa wakati wa ukuaji wangu hivyo sifahamu sana kuhusu kumhusu.
Kaka yangu alikuwa ni kipanga tangu darasa la kwanza hadi la saba hakuwahi kutoka top 3, alivyomaliza la saba alikuwa mzinzi sana ,
Aliingia form one akatoka top ten kabisa ya ufaulu , huku mademu ikiwa ndio kipumbele chake.
Brother alinitangulia darasa moja
Nilikuwa kipanga pia me sikuwahi kutoka namba moja tangu darasa la nne hadi form four , hata form six nilikuwa wa kwanza class.
Sasa baada ya brother kuingia form two namimi nikachaguliwa shule hiyo hiyo , kutokana na umbali wa shule hio kutoka home tulikuwa tukiishi geto , kwahiyo mimi nilimkuta kaka tayari ana geto Yuko form two , me naanza form one .
Brother alikuwa ameshabadilika sana, kila weekend lazima aniambie nikatafute sehemu ya kulala huku akileta wasichana na kufanya uzinzi.
Hali hii ilizidi hata ufaulu wake ulishuka kiasi kwamba hata top 70 hakuwemo.
Nilipata tabu sana kuishi naye kwani uelewano wetu ulitoweka , hata pesa ya matumizi aliyokuwa akituma mzee alikuwa anaimaliza kabla ya wakati , then tunaaanza kula kwenye mageto ya wengine.
Nikiwa bado form one mzee aliachana na mama yetu wa kambo aliyekuwa akitulea tangu wadogo, na hii ndio ilikuwa mwanzo wa uzinzi wa mzee.
Kwenye hio break up waliuza nyumba na mashamba , mzee akiwa na mdogo wangu wa kike wakahama maeneo hayo wakaenda wilaya nyingine kuanza maisha upya.
Sasa huku school bro alikuwa mzinzi sana , haikati wiki analeta wasichana getho , ikawa sasa wao ndio wanakuwa wanakuja kupika na kufanya usafi geto.
Bro aliwahi kupitia hofu ya kufukuzwa shule mara nyingi kwa kuwapa mimba wasichana wa shule lakini alikuwa ananishawishi mapema nimuombe mzee hela kwa namna yoyote ili wakatoe Ile mimba , nami nilifanya hivo.
Mwisho wa siku alimaliza form four na zero na sasa yupo mtaani anaendesha bodaboda ni muda murefu sana lakini ameshindwa kupiga hatua kimaisha kwasababu ya uzinzi hata kwenye kazi yake ya bodaboda.
Mdogo wangu wa kike naye alipofika form two , alitoroka home baada ya kumaliza mtihani wa form two , matokeo yalikuja amefaulu lakini hakuweza kuendelea kwasababu tayari nyumbani hayupo, mzee alijitahidi sana kumtafuta lakini hakumpata zaidi aliishia kupata taarifa tu kwa marafiki zake kwamba yupo mkoa fulani, hadi leo sisiter kashaolewa naye nasikia hivo.
Mzee baada ya kuhamia mkoa mwingine bila nyumba inasemekana alikuwa anapta hela sana kwa biashara zake ila wanawake walikula sana hela zake .
Ilkuwa kila nikienda likizo nakuta kuna mwanamke mungine, ambaye mzee alisema ndio huyo kaoa lakini haipiti wiki mbili wamesha achana.
Wanawake wote aliokuwa anaowa mzee tangu waachane na mama yangu wa kambo hakuna aliyewahi kudumu kwa zaidi ya mwezi hadi leo.
Mbaya zaidi ni kwamba wanawake wengi anaokuwa anaachana nao wanakuwa wanatoroka na vitu vya muhimu nyumbani.
Mzee amewahi kujenga kama mara tatu tangu hapo lakini aliishia kuuza mji kutokana na hasara anazokuwa anasababishiwa na wanawake hivyo kuongeza madeni.
Zimeisha wiki mbili tena tangu nipewe taarifa tena kwamba yule mwanamke aliyekuwa amemuoa mzee katoroka na vitu vingi vya home , pia mzee kaiuza nyumba.
Mzee ana miaka 56 sasa , sioni kabisa kama ataweza kubadilisha chochote.
Huwa nasikitika sana napogundua sina home .
Kutokana na maneno ya watu kwamba hata mimi lazima nitakuwa malaya tu kutokana na mabro kuwa hivyo ilinifanya niwe makini sana na kuyaogopa mahusiano ili maneno yao yasijetimia .
Nipo chuo mwaka wa kwanza ila naona kama muda sio mrefu namimi naweza fall in love nikaingia kwenye circle kama ya ndugu zangu.
Naombeni ushauri wenu wakuu
Nimechukua point hapaHongera sana Mdogo wangu kw akujitambua....Mpaka hapo tayari wewe haupo kwenye Mnyororo wa Laana hii.
Piga shule piga kazi.
Mtu anayepiga kazi hisia za umalaya haziji, zinamjia mtu Mvivu na maskini wa Roho.
Huwa nawambia ukiona Mtu Mzima Mzee hana hela anaomba omba hovyo ukiweza usimpe hata mia.
Kwanini?
Yeye wakati wa ujana wake pesa zake amemalizia kwa
1. Wanawake
2. Pombe
3. Kamali
Sasa iweje atake kula hela yako bure?
Hakuna mwanaume asiye na pesa, hata akikosa nyingi hakose kidogo cha kustawisha familia. Hivyo Mbususu zimepoteza watu wengi.
Walokole ni washenz sana. Wameniharibia maisha yetu. Ni stori ndefu tangu nikiwa mdg tuliishi vyema na Mama wa wakambo.Kujiwekea kinga. Okoka mkubali yesu kuwa bwana na mwokozi wako.
Diamond anapiga sana mbususu ila afulii, kikubwa hapa nikujutambua nakutambua wakati,Hongera sana Mdogo wangu kw akujitambua....Mpaka hapo tayari wewe haupo kwenye Mnyororo wa Laana hii.
Piga shule piga kazi.
Mtu anayepiga kazi hisia za umalaya haziji, zinamjia mtu Mvivu na maskini wa Roho.
Huwa nawambia ukiona Mtu Mzima Mzee hana hela anaomba omba hovyo ukiweza usimpe hata mia.
Kwanini?
Yeye wakati wa ujana wake pesa zake amemalizia kwa
1. Wanawake
2. Pombe
3. Kamali
Sasa iweje atake kula hela yako bure?
Hakuna mwanaume asiye na pesa, hata akikosa nyingi hakose kidogo cha kustawisha familia. Hivyo Mbususu zimepoteza watu wengi.
Mtu dini ikimzidi anakuwa pang'ang'a.Walokole ni washenz sana. Wameniharibia maisha yetu. Ni stori ndefu tangu nikiwa mdg tuliishi vyema na Mama wa wakambo.
Alitupenda na hakutubagua. Mzee alikuwa mkali sana na alimpiga sana mama yetu. Mzee alimtuhumu mama kuwa na wanaume ila naona alikuwa akimuonea tu...mama hakuwa submissive. Mzee alimuona kama jeuri na alifanya hivyo akiwa amelewa. Hali ile ilimfanya mama yetu ajinusuru kukimbilia kuwa mlokole kama kinga kwa kushawishiwa.
Nilimaliza la saba nikaingia tambaza mwaka 90. Wadogo zangu waliacha shule wakafanya vibarua. Dada akamfuata mama akawa mlokole. Kaka naye akamfata mama akawa mkolole. Dada akapata mchumba mlokole. Kaka akawa anahubiri njiani juaninkama kichaa
Maisha yaliendelea tukiwa na mzee dada zangu na kaka zangu wanne. Wawili kati yetu wakiwa tayari wameingia shimoni kwenye ulokole.
Mzee akaoa bint wa makamu. Faza alifilisiwa na huyu mwanamke mlevi na malaya. Tuliobaki tuliungana kusali kanisani na kuombea familia...haikusaidia dada etu akafuata mkondo. Akapotea ulokoleni. Akapata bwana mlokole. Familia ikawa na doa la wanaume wasiojielewa tuliowaira mashemeji.
Tuliendelea kujidhatiti...baada ya kumaliza chuo. Nilipata ajira tanesco nilijenga nyumba yetu ununio nikahamishia wadog zangu na fremu za nje ndio riziki ya familia yetu. Mzee ana miaka 78 maisha yanaendelea. Wale walokole wamehamia pia lkn. Wanatabia za kilokole siwez kuzielezea hapa maana nitakuwa nawasengenya. Ulokoleni sio dini
Thubutu Yako.....wewe unasikiliza Mitandao na inakupotosha.Diamond anapiga sana mbususu ila afulii, kikubwa hapa nikujutambua nakutambua wakati,
Kwani Kuna WAKATI WA
kutafuta
Kutumia
Kula
Kukaa njaa
Kufa
Kuzaliwa.
Watu wengine hawajui kupangilia wakati ila adui mkubwa sana wa maendeleo ni Pombe ukishalewa you can't see clear an image.
Tusinywe mapombe sana vijana, tueshimu mda nakuujua 1mnt in 2024 ikipita imepitaa no way it would come back.
Uboooo haujui kama kuna kuokokaKujiwekea kinga. Okoka mkubali yesu kuwa bwana na mwokozi wako.
sasa kwakuwa umepata uelewa wa hayo mambo yote,basi kumbe unao uwezo wa kuyakataa hayo mambo ya uzinzi.muombe Mungu kwa hio imani yako ili akusaidie.memgine ntakufuata inbox yako nikushauriWakuu bila shaka mnaendelea vyema.
Tumezaliwa watoto wanne , mimi nikiwa wa tatu.
Mtoto wa kwanza ni wa kike yeye aliolewa wakati wa ukuaji wangu hivyo sifahamu sana kuhusu kumhusu.
Kaka yangu alikuwa ni kipanga tangu darasa la kwanza hadi la saba hakuwahi kutoka top 3, alivyomaliza la saba alikuwa mzinzi sana ,
Aliingia form one akatoka top ten kabisa ya ufaulu , huku mademu ikiwa ndio kipumbele chake.
Brother alinitangulia darasa moja
Nilikuwa kipanga pia me sikuwahi kutoka namba moja tangu darasa la nne hadi form four , hata form six nilikuwa wa kwanza class.
Sasa baada ya brother kuingia form two namimi nikachaguliwa shule hiyo hiyo , kutokana na umbali wa shule hio kutoka home tulikuwa tukiishi geto , kwahiyo mimi nilimkuta kaka tayari ana geto Yuko form two , me naanza form one .
Brother alikuwa ameshabadilika sana, kila weekend lazima aniambie nikatafute sehemu ya kulala huku akileta wasichana na kufanya uzinzi.
Hali hii ilizidi hata ufaulu wake ulishuka kiasi kwamba hata top 70 hakuwemo.
Nilipata tabu sana kuishi naye kwani uelewano wetu ulitoweka , hata pesa ya matumizi aliyokuwa akituma mzee alikuwa anaimaliza kabla ya wakati , then tunaaanza kula kwenye mageto ya wengine.
Nikiwa bado form one mzee aliachana na mama yetu wa kambo aliyekuwa akitulea tangu wadogo, na hii ndio ilikuwa mwanzo wa uzinzi wa mzee.
Kwenye hio break up waliuza nyumba na mashamba , mzee akiwa na mdogo wangu wa kike wakahama maeneo hayo wakaenda wilaya nyingine kuanza maisha upya.
Sasa huku school bro alikuwa mzinzi sana , haikati wiki analeta wasichana getho , ikawa sasa wao ndio wanakuwa wanakuja kupika na kufanya usafi geto.
Bro aliwahi kupitia hofu ya kufukuzwa shule mara nyingi kwa kuwapa mimba wasichana wa shule lakini alikuwa ananishawishi mapema nimuombe mzee hela kwa namna yoyote ili wakatoe Ile mimba , nami nilifanya hivo.
Mwisho wa siku alimaliza form four na zero na sasa yupo mtaani anaendesha bodaboda ni muda murefu sana lakini ameshindwa kupiga hatua kimaisha kwasababu ya uzinzi hata kwenye kazi yake ya bodaboda.
Mdogo wangu wa kike naye alipofika form two , alitoroka home baada ya kumaliza mtihani wa form two , matokeo yalikuja amefaulu lakini hakuweza kuendelea kwasababu tayari nyumbani hayupo, mzee alijitahidi sana kumtafuta lakini hakumpata zaidi aliishia kupata taarifa tu kwa marafiki zake kwamba yupo mkoa fulani, hadi leo sisiter kashaolewa naye nasikia hivo.
Mzee baada ya kuhamia mkoa mwingine bila nyumba inasemekana alikuwa anapta hela sana kwa biashara zake ila wanawake walikula sana hela zake .
Ilkuwa kila nikienda likizo nakuta kuna mwanamke mungine, ambaye mzee alisema ndio huyo kaoa lakini haipiti wiki mbili wamesha achana.
Wanawake wote aliokuwa anaowa mzee tangu waachane na mama yangu wa kambo hakuna aliyewahi kudumu kwa zaidi ya mwezi hadi leo.
Mbaya zaidi ni kwamba wanawake wengi anaokuwa anaachana nao wanakuwa wanatoroka na vitu vya muhimu nyumbani.
Mzee amewahi kujenga kama mara tatu tangu hapo lakini aliishia kuuza mji kutokana na hasara anazokuwa anasababishiwa na wanawake hivyo kuongeza madeni.
Zimeisha wiki mbili tena tangu nipewe taarifa tena kwamba yule mwanamke aliyekuwa amemuoa mzee katoroka na vitu vingi vya home , pia mzee kaiuza nyumba.
Mzee ana miaka 56 sasa , sioni kabisa kama ataweza kubadilisha chochote.
Huwa nasikitika sana napogundua sina home .
Kutokana na maneno ya watu kwamba hata mimi lazima nitakuwa malaya tu kutokana na mabro kuwa hivyo ilinifanya niwe makini sana na kuyaogopa mahusiano ili maneno yao yasijetimia .
Nipo chuo mwaka wa kwanza ila naona kama muda sio mrefu namimi naweza fall in love nikaingia kwenye circle kama ya ndugu zangu.
Naombeni ushauri wenu wakuu
Ndio kuna wakati wa kutafuta sio wa kula bata.......Narudia Tena kama umezaliwa unakuta Baba yako hohe hahe.....shida sio hakupata fursa ya pesa bali alitumia kwenye Pombe au Wanawake.Diamond anapiga sana mbususu ila afulii, kikubwa hapa nikujutambua nakutambua wakati,
Kwani Kuna WAKATI WA
kutafuta
Kutumia
Kula
Kukaa njaa
Kufa
Kuzaliwa.
Watu wengine hawajui kupangilia wakati ila adui mkubwa sana wa maendeleo ni Pombe ukishalewa you can't see clear an image.
Tusinywe mapombe sana vijana, tueshimu mda nakuujua 1mnt in 2024 ikipita imepitaa no way it would come back.
Huko ndio atapotea kabisa.Kujiwekea kinga. Okoka mkubali yesu kuwa bwana na mwokozi wako.
Mzee nikuambie tu kitu kimoja maji hufata mkondo.....na nature huwezi istopisha hivyo ndivyo mlivyo.Wakuu bila shaka mnaendelea vyema.
Tumezaliwa watoto wanne , mimi nikiwa wa tatu.
Mtoto wa kwanza ni wa kike yeye aliolewa wakati wa ukuaji wangu hivyo sifahamu sana kuhusu kumhusu.
Kaka yangu alikuwa ni kipanga tangu darasa la kwanza hadi la saba hakuwahi kutoka top 3, alivyomaliza la saba alikuwa mzinzi sana ,
Aliingia form one akatoka top ten kabisa ya ufaulu , huku mademu ikiwa ndio kipumbele chake.
Brother alinitangulia darasa moja
Nilikuwa kipanga pia me sikuwahi kutoka namba moja tangu darasa la nne hadi form four , hata form six nilikuwa wa kwanza class.
Sasa baada ya brother kuingia form two namimi nikachaguliwa shule hiyo hiyo , kutokana na umbali wa shule hio kutoka home tulikuwa tukiishi geto , kwahiyo mimi nilimkuta kaka tayari ana geto Yuko form two , me naanza form one .
Brother alikuwa ameshabadilika sana, kila weekend lazima aniambie nikatafute sehemu ya kulala huku akileta wasichana na kufanya uzinzi.
Hali hii ilizidi hata ufaulu wake ulishuka kiasi kwamba hata top 70 hakuwemo.
Nilipata tabu sana kuishi naye kwani uelewano wetu ulitoweka , hata pesa ya matumizi aliyokuwa akituma mzee alikuwa anaimaliza kabla ya wakati , then tunaaanza kula kwenye mageto ya wengine.
Nikiwa bado form one mzee aliachana na mama yetu wa kambo aliyekuwa akitulea tangu wadogo, na hii ndio ilikuwa mwanzo wa uzinzi wa mzee.
Kwenye hio break up waliuza nyumba na mashamba , mzee akiwa na mdogo wangu wa kike wakahama maeneo hayo wakaenda wilaya nyingine kuanza maisha upya.
Sasa huku school bro alikuwa mzinzi sana , haikati wiki analeta wasichana getho , ikawa sasa wao ndio wanakuwa wanakuja kupika na kufanya usafi geto.
Bro aliwahi kupitia hofu ya kufukuzwa shule mara nyingi kwa kuwapa mimba wasichana wa shule lakini alikuwa ananishawishi mapema nimuombe mzee hela kwa namna yoyote ili wakatoe Ile mimba , nami nilifanya hivo.
Mwisho wa siku alimaliza form four na zero na sasa yupo mtaani anaendesha bodaboda ni muda murefu sana lakini ameshindwa kupiga hatua kimaisha kwasababu ya uzinzi hata kwenye kazi yake ya bodaboda.
Mdogo wangu wa kike naye alipofika form two , alitoroka home baada ya kumaliza mtihani wa form two , matokeo yalikuja amefaulu lakini hakuweza kuendelea kwasababu tayari nyumbani hayupo, mzee alijitahidi sana kumtafuta lakini hakumpata zaidi aliishia kupata taarifa tu kwa marafiki zake kwamba yupo mkoa fulani, hadi leo sisiter kashaolewa naye nasikia hivo.
Mzee baada ya kuhamia mkoa mwingine bila nyumba inasemekana alikuwa anapta hela sana kwa biashara zake ila wanawake walikula sana hela zake .
Ilkuwa kila nikienda likizo nakuta kuna mwanamke mungine, ambaye mzee alisema ndio huyo kaoa lakini haipiti wiki mbili wamesha achana.
Wanawake wote aliokuwa anaowa mzee tangu waachane na mama yangu wa kambo hakuna aliyewahi kudumu kwa zaidi ya mwezi hadi leo.
Mbaya zaidi ni kwamba wanawake wengi anaokuwa anaachana nao wanakuwa wanatoroka na vitu vya muhimu nyumbani.
Mzee amewahi kujenga kama mara tatu tangu hapo lakini aliishia kuuza mji kutokana na hasara anazokuwa anasababishiwa na wanawake hivyo kuongeza madeni.
Zimeisha wiki mbili tena tangu nipewe taarifa tena kwamba yule mwanamke aliyekuwa amemuoa mzee katoroka na vitu vingi vya home , pia mzee kaiuza nyumba.
Mzee ana miaka 56 sasa , sioni kabisa kama ataweza kubadilisha chochote.
Huwa nasikitika sana napogundua sina home .
Kutokana na maneno ya watu kwamba hata mimi lazima nitakuwa malaya tu kutokana na mabro kuwa hivyo ilinifanya niwe makini sana na kuyaogopa mahusiano ili maneno yao yasijetimia .
Nipo chuo mwaka wa kwanza ila naona kama muda sio mrefu namimi naweza fall in love nikaingia kwenye circle kama ya ndugu zangu.
Naombeni ushauri wenu wakuu
Hii conclussion yako kibokoHuu mzigo kuuepuka ni ngoma. Hasa hasa Baba maana nafikiri anachukua wale Reject wa mitaani