Uzinzi umeharibu maisha ya familia yetu

Daaah Pole sana Aisee. Dogo Komaa na Shule, Hakikisha unasoma kwa bidii, Jiepushe na Makundi, Starehe na Wanawake.
 
Mzee wenu ndio tatizo ,mimi nina bro wangu alikuwa kipanga ila baadae alikuw mzinzi alikuja kumkana baba yake ambaye ni baba yetu mdogo.

Mambo ya zinaa yameharibu pia kukosa malezi ,yeye kaacha shule form three kabisa ni hatari yaani...Sasa hivi ni mtu mkubwa watoto wake kama 7 wote wa uzinzi amebaki kuomba pesa mara 10k .
 
Nimechukua point hapa
 
Kujiwekea kinga. Okoka mkubali yesu kuwa bwana na mwokozi wako.
Walokole ni washenz sana. Wameniharibia maisha yetu. Ni stori ndefu tangu nikiwa mdg tuliishi vyema na Mama wa wakambo.

Alitupenda na hakutubagua. Mzee alikuwa mkali sana na alimpiga sana mama yetu. Mzee alimtuhumu mama kuwa na wanaume ila naona alikuwa akimuonea tu...mama hakuwa submissive. Mzee alimuona kama jeuri na alifanya hivyo akiwa amelewa. Hali ile ilimfanya mama yetu ajinusuru kukimbilia kuwa mlokole kama kinga kwa kushawishiwa.

Nilimaliza la saba nikaingia tambaza mwaka 90. Wadogo zangu waliacha shule wakafanya vibarua. Dada akamfuata mama akawa mlokole. Kaka naye akamfata mama akawa mkolole. Dada akapata mchumba mlokole. Kaka akawa anahubiri njiani juaninkama kichaa

Maisha yaliendelea tukiwa na mzee dada zangu na kaka zangu wanne. Wawili kati yetu wakiwa tayari wameingia shimoni kwenye ulokole.

Mzee akaoa bint wa makamu. Faza alifilisiwa na huyu mwanamke mlevi na malaya. Tuliobaki tuliungana kusali kanisani na kuombea familia...haikusaidia dada etu akafuata mkondo. Akapotea ulokoleni. Akapata bwana mlokole. Familia ikawa na doa la wanaume wasiojielewa tuliowaira mashemeji.

Tuliendelea kujidhatiti...baada ya kumaliza chuo. Nilipata ajira tanesco nilijenga nyumba yetu ununio nikahamishia wadog zangu na fremu za nje ndio riziki ya familia yetu. Mzee ana miaka 78 maisha yanaendelea. Wale walokole wamehamia pia lkn. Wanatabia za kilokole siwez kuzielezea hapa maana nitakuwa nawasengenya. Ulokoleni sio dini
 
Diamond anapiga sana mbususu ila afulii, kikubwa hapa nikujutambua nakutambua wakati,

Kwani Kuna WAKATI WA
kutafuta
Kutumia
Kula
Kukaa njaa
Kufa
Kuzaliwa.

Watu wengine hawajui kupangilia wakati ila adui mkubwa sana wa maendeleo ni Pombe ukishalewa you can't see clear an image.

Tusinywe mapombe sana vijana, tueshimu mda nakuujua 1mnt in 2024 ikipita imepitaa no way it would come back.
 
Mtu dini ikimzidi anakuwa pang'ang'a.
 
Thubutu Yako.....wewe unasikiliza Mitandao na inakupotosha.

Diamond ameanza kutoka kwenye Albam yake ya kwanza.

Akavamiwa na Wema.

Aliendelea kupambana na maisha( siri ya kuachana na wema unaijua)

Amejitafuta mpaka amekuwa Milionea na kwa umaarufu wake woote na umri aliokuwa nao mademu zake tunawajua hawazidi Watano.

Sasa wewe mbulula hata msosi wa siku ni shida ukajikite kwenye pombe na umalaya hutoboi.

Utaishia kuilaumu serikali ya ccm bure.

Kwa Sasa Diamond ndio anakula bata tena Kimya kimya.
 
sasa kwakuwa umepata uelewa wa hayo mambo yote,basi kumbe unao uwezo wa kuyakataa hayo mambo ya uzinzi.muombe Mungu kwa hio imani yako ili akusaidie.memgine ntakufuata inbox yako nikushauri
 
Ndio kuna wakati wa kutafuta sio wa kula bata.......Narudia Tena kama umezaliwa unakuta Baba yako hohe hahe.....shida sio hakupata fursa ya pesa bali alitumia kwenye Pombe au Wanawake.

Mfano mzuri ni hata vijana wa leo.

Mtu ana boda boda au Bajaji anakunja elfu 30 kila siku baafa ya kutoa gharama zake zote.

This is to make Tsh 900,000 pet month.

Nakuapia leo ukienda kwa boda boda au mwendesha Bajaji ukimkuta hata mwenye akiba ya Laki tatu ni 1/100.
 
Mzee nikuambie tu kitu kimoja maji hufata mkondo.....na nature huwezi istopisha hivyo ndivyo mlivyo.

Ninacho kiona hapa una hangaika kukopi na kuigiza necha za watu wengine. Kuna koo wanaume wanamahomoni mengi ya kike hivyo kwenye ukoo wao kuwa na mapunga wengi haimaanishi na kwenu iwe hivyo.

Just accept the reality kikubwa jua kujikinga na magonjwa na mimba zisizo na vichwa wala miguu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…