Uzinzi umeharibu maisha ya familia yetu

Mtumaini Bwana Mungu nae atanyoosha njia zako..

Umefikia hatua nzuri ya kutambua wapi unafeli,,kuwa na mikakati endelevu kuepuka na kushinda roho za shetani
 
Kwenye hii dunia hakuna kitu kibaya kama laana za mababu wa ukoo,aisee wale mbwa huwa wana laana mbaya sana..

Cha kufanya mdogo wangu,kwanza inabidi utambue kwamba familia yako iko chini ya laana ya ukoo,kwamba hamtakuja fanikiwa na bondage yenu imefungwa kwenye uzinzi.

Wengine wamefungwa kwenye ulevi,uvivu,uzururaji,yaani kutodumu sehemu moja,unakuta mtu anahaha mikoa yote hana mahali maalumu pa kuanzisha makazi na kufanya maendeleo.

Sasa nyie mmefungwa kwenye bondage mbaya sana,uzinzi,ubaya wake ni kwamba sio tu mtakuwa maskini ila pia mnaweza kuja kupata magonjwa.

Hapo cha kufanya ni kuomba toba tu,uzuri wewe umejitambua mtafute mchungaji akuongoze sala ya toba,na aombee familia yako na uzao wako,bila hivyo laana itakuja kutafuna mpaka kizazi chako.

Nna hisia Mungu anataka kukutumia wewe kukomboa familia yako,usikubali kukata tamaa.
 
unazaliwa maskini ila kufa maskini ni chaguo lako

pambana achana na mambo ya ovyo yaliyofanywa na watangulizi wako, utatoboa
 
Kijana nione inbox nikusaidie, una hitaji msaada kwa kaka zako tuliopitia maisha ya chuo.
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…