Uzinzi umeharibu maisha ya familia yetu

Acha ushamba kijana kula mbususu hizo za Chuo miliki Ata tano hakunaga tuzo ya kuwa na mwanamke mmoja usruke steji kijana utasumbua uzeeni
 
Mkuu umempa ushauri mzuri congratulations
 
Ila madem si unawagonga? Kama utam unaupata haina shida, we endelea kuinjoi maisha.
 
Wewe dogo kwa andiko lako tu hili hapa inaonyesha kabisa kuwa upo smart sana na Mungu yupo na wewe, huwezi kuanguka kwenye hio njia ya umalaya. Sijui wewe ni dini gani ila jaribu sana kumuweka Mungu mbele, inaonekana Familia yenu ina maagano ya kipindi cha mababu zenu.

Ukifuatilia kwa makini utakuta kuna maneno mabaya either bibi yenu ama mama yako aliyaacha kutokana na umalaya wa babu yako au baba yako.

Mambo anayoyafanya mzee wako nina uhakika hata yeye hapendi hio tabia.

Wewe unaonekana kabisa kuwa haupo kwenye hio laana na Mungu kakufayia hivyo makusudi ili uje uvunje vunje hayoa mambo yaliyonenwa juu yenu.

Cha kufanya. Sali sana na endelea na msimamo wako utamaliza chuo salama na utapata kazi nzuri sana tu ama utafanya biashara zako na zitafanikiwa.

Kama unavyoona mzee wako anafanya mambo yake na anafanikia japo changamoto zinamuangusha maana yake wewe pia utakachokugusa kuhusu uchumi lazima kitapaa na kufanikiwa sana.
Nidhamu yako kwenye uchumi ndio utafanya ukoo wako usimame.

Ngoja niishie hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…