1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
Injinia amesimamia upande mmoja lakini kiukweli Wanawake walioko kwenye ndoa ni warahisi kuliko mabinti wadogo walioko nje ya Ndoa.Kiukweli ngono za nje zinawacost sana wanaume yani mnooooo!! Sema ndio hivo huwezi mpangia tu maisha!
Na kitakwimu matokeo ya DNA yanaonyesha kuwa katika kila watoto 10 wanne mpaka SITA sio wa baba anayetajwa ndani ya Ndoa ,ikiwa na maana kuwa Wanawake wengi walioko ndani ya Ndoa wanazaa nje ya Ndoa na kuwapa kazi kubwa akina baba kulea watoto wasio wao.
Kwa hiyo kusema kuwa wanaume wanaotoka sana nje ya Ndoa ni Mawazo ya kiharakati lakini kiuhalisia sio kweli .
Siku hizi fimbo ya Wanawake kutoka nje ya Ndoa ni kusema kuwa mwanaume haniridhishi kwenye mapenzi kitandani. Hii inafanya wanaume wengi kuogopa kulalamika na kujikuta wanakaa kimya .
Ilivyo ni kwamba mwanaume mmoja Malaya mwenye Pesa za hovyohovyo anaweza akatembea na Wanawake 20 ikaonekana kuwa ni wanaume 20 wenye tabia za uzinzi kumbwa ni Wanawake 20.
Siku hizi huwezi kusikia Mwanamke akisema Mimi ni mke wa mtu ,utasikia TU nyie wanaume hamjatulia. Anajing"ata ng'ata na kufuata chatu kama mbwa Koko.
Kinachowasaidia Wanawake ni uwezo wao wa kuficha madhambi mbele ya watu na kutangaza madhaifu ya mwenza wake.
Lakini light pangekua na SHERIA Kali ya kudhibiti wanandoa Hakika Wanawake wengi wangepatikana na hatia uchunguzi ungefanyiaka kila mtu angepata takwimu halisi.
Kwa Sasa ni stori tunza vijiweni kuwa kila mwanaume ana mchepuko bila kuangalia kuwa ili mwanaume awe na mchepuko nyakati hizi ni lazima awe na pesa za kulipia marejesho ya vikoba. Hivyo ni wanaume wachache ila Wana pesa HARAMU.