Uzoefu ni jambo muhimu katika Maisha, inakuwaje watu mnawakataa single Mamaz kwenye mahusiano ya ndoa?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Hakuna ubishi unapoomba kazi moja ya sifa na kigezo kinachozingatiwa ni uzoefu wa kazi how long you work for the position?una yafahamu vyema majukumu yako na kuna impact gani umeifanya katika taasisi yako uliyotoka?

Lakini mambo yamekuwa tofauti katika mahusiano hivi kwanini wanaume tunawakataa single mamaz wakati wao ndiyo wanaexperience ya mahusiano?

Hatuoni faida ya kuwa nao?
 
Mjadili mnavyoweza ila jua kwa single mother mtoto wake uliemkuta nae mara nyingi huwa ndio anakua first priority kwake, ingawa si mara zote.

Comment yangu isiguswe,ila comment unayoitafuta andika wewe🥺🥺
 
yamekukuta yapi?
Picha linaanza nlianza mahusiano na dada mmoja mrembo sana, nkamtambulisha had nyumban na nikahakikisha naeka kila kitu sawa kwa ajili ya kuchukua jiko.
Yule mjinga popote alipo afe tu.

Baadae aliaga kuwa anaenda mjini (15km kutoka tunapoishi) kwa ajili ya shopping ya mahitaj ya nyumban. Kumbe alienda kuonana na mzazi mwenzake ilihali alinihakikishia kuwa hawana mawasiliano.

Aliporudi alikuwa na majibu ya vifupisho sanaaaaa as if hajali kipi nnachomwambia. Kumbe alishajazwa ujinga kuwa warudiane waanze maisha.

Nilifuma sms zao siku moja baadae. Nlimfukuza mapema sana siku hio na wala hakuwa na mshtuko akijua atapokelewa na mwenzake.
Mungu si Athumani Iddy Chuji... Alizimiwa simu.

Alirudi kwa machozi tele. Nikaapa siwez kuwa fala aloo.

Huko nyumban nliwaambia mchumba angu kafariki kwa ajali. OVER
 
daaah hatari
 
We uliona wapi mpira kabla haujaanza timu moja iwe inaongoza kwa magoli?
 
Kwahyo ni kosa kuwa single mom au kosa ni kutokumaliza mahusiano ya mwanzo?
 
Back
Top Bottom