Uzoefu wa biashara ya juisi ya miwa; Changamoto na ushauri

Uzoefu wa biashara ya juisi ya miwa; Changamoto na ushauri

@Ibilisi,
Mkuu now nnapoandika hii sms nipo mabibo hostel nacheck eneo lkn yupo jamaa anayo na anapiga pesa
 
Mashine ya juisi ya miwa ya kisasa inapatikana wapi na bei gani
Mkuu nimeagiziwa pale upanga jengo linatazamana na Lasvegas casino kama jina hilo nimelipatia au nimelichanganya,lkn pia veta wanaunda ila bei nimeambiwa kuanzia mil.1.5 mpaka 2
 
Mkuu nimeagiziwa pale upanga jengo linatazamana na Lasvegas casino kama jina hilo nimelipatia au nimelichanganya,lkn pia veta wanaunda ila bei nimeambiwa kuanzia mil.1.5 mpaka 2
Hapo ulipoagiza ni kiasi gani na ianatumia nn umeme?mkono o mafuta?

Sent from mTalk
 
Hello Ndugu wana JF

Naombeni ushauri Hii Biashara ya Juice ya Miwa Nataka Kuianza Nipo Eneo zuri ambalo nimefanya Uchunguzi Biashara hii haipo Kwahiyo nitaanza Nayo...

Changamoto zake ni Zipi kwa Waliowahi Ifanya
 
Hakikisha unastandby generator maana umeme wetu hautabiriki
 
Ninazo 1m za umeme 3 rollers
1478940436996.jpg
 
Changamoto ni kuwa kama unaendesha shughuli zako kwa njia za asili utwalisha watu uchafu......mwisho wa siku wataharisha.....HYGIENIC is pre-compulsory indicator
 
Back
Top Bottom