Kilemakyaaro
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 5,051
- 5,104
Nenda SUA, hakuna mtu anayetengeneza juice ya miwaa.Mkuu now nnapoandika hii sms nipo mabibo hostel nacheck eneo lkn yupo jamaa anayo na anapiga pesa
Mkuu nimeagiziwa pale upanga jengo linatazamana na Lasvegas casino kama jina hilo nimelipatia au nimelichanganya,lkn pia veta wanaunda ila bei nimeambiwa kuanzia mil.1.5 mpaka 2Mashine ya juisi ya miwa ya kisasa inapatikana wapi na bei gani
Mkuu SUA ni morogoro mimi nipo daslam,huko mbali itakua ngum sana kumanage as far as pesa na muda znahusika,ni wazo zuri sana lknNenda SUA, hakuna mtu anayetengeneza juice ya miwaa.
Hapo ulipoagiza ni kiasi gani na ianatumia nn umeme?mkono o mafuta?Mkuu nimeagiziwa pale upanga jengo linatazamana na Lasvegas casino kama jina hilo nimelipatia au nimelichanganya,lkn pia veta wanaunda ila bei nimeambiwa kuanzia mil.1.5 mpaka 2
Hakikisha unastandby generator maana umeme wetu hautabirikiHello Ndugu wana JF
Naombeni ushauri Hii Biashara ya Juice ya Miwa Nataka Kuianza Nipo Eneo zuri ambalo nimefanya Uchunguzi Biashara hii haipo Kwahiyo nitaanza Nayo...
Changamoto zake ni Zipi kwa Waliowahi Ifanya
Mi nataka kutumia Ya Umeme Sehemu niliyopo umeme ni wa Uhakika Asilimia 90Au mashine ya mkono
Eleza inavyo fanya kazi hiiNinazo 1m za umeme 3 rollersView attachment 432889
Bro hata mimi nina mpango wa kununua hio machine naomba nipe bei kaka kama ni affordable hata kesho nachukuaKama kweli mkuu upo serious unataka hiyo mashine nijulishe ninazo mpya kbsa
Hebu tupia picha tuone kiongozi.Kama kweli mkuu upo serious unataka hiyo mashine nijulishe ninazo mpya kbsa