Miss Madeko
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 4,364
- 5,609
Siji hata siku moja kujaribu kutia juice ya miwa kwa mdomo wangu
Imenishinda yaparachichi ni ya miwa nooo
Imenishinda yaparachichi ni ya miwa nooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani tumekulazimisha! Nenda zako kanywe mipepsi na azam cola upate mamigonjwa na gesi tumboni umpe mkeo apikieSiji hata siku moja kujaribu kutia juice ya miwa kwa mdomo wangu
Imenishinda yaparachichi ni ya miwa nooo
Mkuu nitakutafta..Piga 0714504937 hii ni biashara nzuri mashine ni ya stainless steel kama unavyoiona ili kuwa na usafi wa hali ya juu
Hujalazimishwa mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Siji hata siku moja kujaribu kutia juice ya miwa kwa mdomo wangu
Imenishinda yaparachichi ni ya miwa nooo
...Kwa kuja hapa JF pia ana research, mfano wakati jibu lako too general surely wapo watu ambao kwa kuwa wameifanya hiyo biashara ABC ambazo ni more realistic.Ndugu kwa namna yoyote how much you earn for a day depends na soko la bidhaa, margin ya wateja, hali ya hewa na hali ya uchumi pia. Fanya research hii katika eneo unaloli target the ukipata majibu ndio probably the much you can get!!