Uzoefu wa biashara ya juisi ya miwa; Changamoto na ushauri

Uzoefu wa biashara ya juisi ya miwa; Changamoto na ushauri

Siji hata siku moja kujaribu kutia juice ya miwa kwa mdomo wangu

Imenishinda yaparachichi ni ya miwa nooo
 
Piga 0714504937 hii ni biashara nzuri mashine ni ya stainless steel kama unavyoiona ili kuwa na usafi wa hali ya juu
 
20170130_123800.jpg
 
Unaongezea na matunda mengine ka hpo kwenye picha , site nzuri elfu 50 kwa siku hukosi
 
Chupa na glasi tumia zile za takeaway na juice sababu nzito Changanya na limau kdgo inakuwa na ladha nzuri sana
 
Nawaomba Kwa anayeanza tuwasiliane akinunua mashine vitu vingine kama banners glasi na chupa resealable ntampa
 
Habari wakuu mi nna kibanda changu cha bati nilikuwa nimefungua libraly ya kuuza vifaa vya simu na kuingiza nyimbo kipo stop over ni eneo zuri kwa biashara hiyo kama kuna mdau anaweza kuniwezesha tukasaidiana kubadilisha biashara tuuze miwa inalipa sana sema mtaji wangu umekata nilikuwa naomba msaada tutashare au mkataba no yangu ni hii 0717111140 ni serius wakuu
 
Ndugu kwa namna yoyote how much you earn for a day depends na soko la bidhaa, margin ya wateja, hali ya hewa na hali ya uchumi pia. Fanya research hii katika eneo unaloli target the ukipata majibu ndio probably the much you can get!!
...Kwa kuja hapa JF pia ana research, mfano wakati jibu lako too general surely wapo watu ambao kwa kuwa wameifanya hiyo biashara ABC ambazo ni more realistic.
 
Back
Top Bottom